Makamu Mwenyekiti Chadema Taifa Kuunguruma Ukonga Kesho 15/07/2012

Huyu ni bendera tu hana lolote,mzanzibari na chadema wapi na wapi.chadema na mchaga plus church mzanzibar aende zake kupiga rakaa hukooo masjid,kaingia choo cha kike huku

Hakuna mzenji ndani ya Chadema ambaye ni bendera fuata upepo. Chadema imekusanya vichwa vya uhakika toka pande zote za nchi.

Bendera fuata upepo wote mmejazana cuf na ccm. Na kazi yetu ni kuwasaidia kuwaweka huru toka katika vifungo vya utumwa mnavyotumikishwa.
 
Mwita Maranya,

Hili Jembe lipo wapi siku hizi?
4.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom