Makamu mkuu wa chuo muhimbili kufikishwa mahakamani kesi inasomwa 11/08/2011

drgeorge

Member
Jun 22, 2009
99
23
Taarifa zilizothibitishwa: Kesi imefunguliwa katika mahakama kuu ya Tanzania jijini Dar es salaam dhidi ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Muhimbili (MUHAS) ni baada ya kukifuta chama cha wanafunzi (MUHASSO) kwa kutumia mwongozo wa serikali GN 178 (12.06.2009) uliotolewa na wizara ya Elimu.

Hili si suala dogo wadau tunahitaji kulifuatilia kwa undani maana mwongozo huo unaweza kuua kabisa uzalendo wa kweli kwa kuwakandamiza wanavyuo nchini.
 
Alitumwa na magamba ujue yatamtetea maana yapo ktk harakati za kudidimiza demokrasia ktk kila penye akili inayo yachallenge!
 
Back
Top Bottom