Makamu M/kiti BAVICHA taifa ni pandikizi au kapewa pesa haramu?

Kama mnaipenda chadema acheni kujadili hii mada maana ndio mnazidi kuharibu na kuwapa sifa wapinzani wenu, maana wao wanafurahi kuona maadui zao wakigombana. Mambo ya malumbano waachieni magamba, CDM ni chama imara kama kuna makosa tuyazungumze yaishe tuendelee kuwavua magamba na kuwavisha magwanda wenzetu waliopotea.
 
Shibuda 2015 akagombee CCK na si CHADEMA ila kwa sasa Shibuda ni wa kumpuuza amekuwa kama tahira. Huyu dada nae inabidi aagwe kwa vigere gere na mapambio hafai kuwa kiongozi.
 
Acheni sera kandamizi na za kibaguzi ,Mwana dada yuko sahihi kabisa unajua Heche kakurupuka na kujifanya yeye ndio BAVICHA kisa yuko karibu sana na Mwenyekiti pamoja na Katibu wa CDM.Ndio maaana sisi vijana wenye uelewa wa kutosha tutaendelea kukitumikia chama cha mapinduzi kwani hakina ukanda.CDM sasa hivi hawana na hawataki mtu yeyote toka mikoa mingine kushika uenyekiti, ukatibu mkuu au kugombea urais kupitia cdm labda uwe mchaga au mtu wa kaskzini.Kwa hali hiyo CCM lazima kitawale milele yote kwa ni chama cha wananchi wote wapenda amani na maendeleo.[vijana wa magamba kwa hoja nyeepesi utawajua tu.
 
ufahamu wa huyu dada sikuweza mara mmoja kumutofautisha na shibunda tunatakiwa tuwaangalie sana maana yana weza yakawa mapandikizi ndani ya chama.
 
Kaka yangu FJM, mbona umekuwa mgumu kuelewa? ina maana na wewe hujaelewa?

Tumpe ushirikiano mwana dada machachari, wanawake wakiwezeshwa wanaweza!

sioni sababu ya kumpinga huyu mdada kwani anasimamia misimamo yake, hawezi kuburuzwa na heche kwa kuendekeza hisia zake peke yake, alitakiwa awashirikishe wenzake,hakufanya hivo, istoshe mtu yeyote yule ambaye ana vigezo ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, halafu kuwa kiongozi wa chadema sio kila kitu uoneshe hasira, au upingane nacho hata kama kina ukweli au ni kizuri kwa jamii, wengi wetu sisi wanachama tunadhani kuwa mpingaji ndio fighter la hasha hatupo sawa! wala sio kusikika kila mara ndio unafanya kazi ya chama. UONGOZI NI STRATEGIC, LOGIC na vitu kama hivo. so dada yupo sahihi kabisa.
 
Wana Jamvi, naona kama yupo humu ndani atakuwa amewaelewa. Binafsi nilimcall na kumweleza alichokifanya Heche hakikuwa sahihi kumjibu punguani Shibuda, lakini nikamweleza alichikifanya yeye hakikuwa sahihi zaidi kutakana na njia aliyoitumia. Nilimwambia kosa halirekebishwi kwa kosa. Kakubali udhaifu hup, next time atakuwa makini. Kwa kifupi wanawadissapoint watanzania wataka mabadiliko.

Yaani kuna 'next time' tena hapo! Mimi nilifikiri ndio kwa heri yake..Amenichefua mno! Jamani fukuzilia mbali huyo, CDM haiwezi kuluzi kwa kuwatoa yeye na Shibuda wake...
 
Hatumsikii kwenye kazi ya kujenga Chama ila tunamsikia kwenye kubomoa, ni mmoja wa waliopandikizwa na ccm au kapewa fungu aichafue Chama? Kiongozi mzuri katika jamii au hata katika familia ni yule anayemkosoa kiongozi mwenzake kwenye vikao vya ndani au amfuate moja kwa moja kujua sababu ya kiongozi huyo kufanya jambo hilo.

Hivi katika familia mzazi mwenzako ukihisi amekosea unaita press conference ili kuwatangazia maadui zako? Dada yetu ajiangalie kama yuko sawa, vijana tutaanza kupoteza imani na uwezo wake wa kufikiri na kutatua matatizo kiuongozi katika jamii.

Nawasilisha wakuu.


..dada kasema ukweli heche hatukumtuma sisi kama wanachama wa umoja wa vijana chadema iweje aende kusema kwa mgongo wetu bwana, hili ndo litakalokiua hiki chama la kutotaka kuambiwa ukweli
 
hata Chadema haifurahii kuwa na wanachama wap.u.mbav kama ww ambae hata kosa la Heche mpaka sasa hujalijua? Jifunze Tofauti ya 'Tamko la mwenyekiti wa Bavicha' na 'Tamko la BAVICHA' unaweza kuja kusaidia mbele ya safari!

Heche kukosea sio kibali cha wao kuroppoka kwenye vyombo vya habari hadi mapovu yanawatoka, wanatafuta sifa kwa nani kama sio kwa watu waliowatuma. Hawana hekima wala busara hawafai kabisa kuwa viongozi, tena huo Urais ndio kabisa!
 
Hatumsikii kwenye kazi ya kujenga Chama ila tunamsikia kwenye kubomoa, ni mmoja wa waliopandikizwa na ccm au kapewa fungu aichafue Chama? Kiongozi mzuri katika jamii au hata katika familia ni yule anayemkosoa kiongozi mwenzake kwenye vikao vya ndani au amfuate moja kwa moja kujua sababu ya kiongozi huyo kufanya jambo hilo.

Hivi katika familia mzazi mwenzako ukihisi amekosea unaita press conference ili kuwatangazia maadui zako? Dada yetu ajiangalie kama yuko sawa, vijana tutaanza kupoteza imani na uwezo wake wa kufikiri na kutatua matatizo kiuongozi katika jamii.

Nawasilisha wakuu.

sijakuelewa unachotaka kumaanisha zaidi ya kuweka mifano mingi kuliko na kujisahau kuweka alichokisema!
 
Kaka yangu FJM, mbona umekuwa mgumu kuelewa? ina maana na wewe hujaelewa?

Tumpe ushirikiano mwana dada machachari, wanawake wakiwezeshwa wanaweza!
ndio wanaweza kama sofia simba, anne makinda, mary nagu, celina kombani, migiro(un)
 
Back
Top Bottom