Makamu BAVICHA akamatwa na kusekwa rumande Oyesterbay

Hiyo yote ni gharama za uzalendo wa kweli na harakati za dhati za ukombozi tupo nyuma yao hawa mavuvuzela hayawezi kuwafanya kitu.
 
Makamu mwenyekiti wa Bavicha Taifa,Juliana na wenzake watatu wamepelekwa mahakama ya kisutu kwa ajili ya kusomewa Shitaka lao,hadi muda huu bado hawajasomewa shitaka hilo,nitaendelea kuwapa taarifa ya kinachoendelea na kama kuna mtu ambae yupo mahakamani aendelee kutujuza..

Mkuu umeshapata taarifa zaidi juu ya makosa yao?
 
Kwa nini wasikamate wananchi wote wapenda haki na mapinduzi tujue moja kuwa CCM haitaki demokrasia ya kweli?
 
Hivi hawa policy wa tanzania nani amewaroka? mbona mnatutia aibu hembu jitambueni hamna kazi za kufanya mbona vibaka kila kona ya jiji watu wanaibiwa vibaya sana kazi zenu hamzijui jamaani hamna job description? mnaboa sana.

Hi baby face ebu jaribu kushirikisha ubongo unapoandika naona kizunguzungu hapo kwenye yellow maake habari yote imekuwa "vague".Sasa ukisema wakamate vibaka si utamaliza wanachama wa chama chako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
updates...baada ya kusomewa mashtaka hawakutimiza masharti ya dhamana kumekuwa na complications za hapa na pale hivyo wamepelekwa Segerea hadi kesho...inasikitisha sana....ooh poor juliana
 
Mkuu umeshapata taarifa zaidi juu ya makosa yao?

Nimesikia kuwa ni kufanya maandamano yasiyo halali(bila kibali) pili mabango waliokuwa nayo yalikuwa na lugha ya kukashifu(insult) au kudhalilisha..source hakuwa makini kusikiliza makosa..ila ilikuwa kama hivyo.
 
Makamu mwenyekiti wa Bavicha Taifa,Juliana na wenzake watatu wamepelekwa mahakama ya kisutu kwa ajili ya kusomewa Shitaka lao,hadi muda huu bado hawajasomewa shitaka hilo,nitaendelea kuwapa taarifa ya kinachoendelea na kama kuna mtu ambae yupo mahakamani aendelee kutujuza..

Kumbe anaitwa Juliana, naomba nifungiwe nawe chumba kimoja kwa raha zetu
 
Mkuu umeshapata taarifa zaidi juu ya makosa yao?

Makosa yao ni wao kutokuwa na mbio za kutosha maake wengine hawakukamatwa kwa sababu ya mbio zao kuwa kali kusave maisha baada ya kufanya maandamano haramu-jmosi.Kwa ujumla hawa wanapingana na kauli mbiu ya chama kuwa "heri kufa nimesimama" kuliko "kuishi nimepiga magoti" japo mkubwa nae aliitengua "alipojisalimisha polisi(kupiga magoti).
 
Back
Top Bottom