Makampuni yepi ya kuchapa vitabu? yeyote anayejua, yale ya bei ya chini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makampuni yepi ya kuchapa vitabu? yeyote anayejua, yale ya bei ya chini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Hute, Apr 28, 2012.

 1. H

  Hute JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,044
  Likes Received: 3,914
  Trophy Points: 280
  jamani, nina shida ya kupublish kitabu, kimeshaandikwa na kueditiwa, tatizo natafuta kampuni ya kuchapisha vitabu itakayofanya kwa bei ya chini kabisa, kama kuna mtu anayeyafahamu makampuni hayo naombeni anielekeze ni yepi, kwa wazoefu wa kutunga na kuchapisha vitabu vya kuuza wanaweza kutoa uzoefu wao hapa pia ili pamoja na mimi wengine humu ndani wafaidike...asanteni sana.
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Go India.hapa Tanzania all are expensive
   
 3. H

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,044
  Likes Received: 3,914
  Trophy Points: 280
  how expensive is that...india nikijumlisha na nauli ya kwenda na kurudi, kukaa hotelini...etc....r u serious?
   
 4. Michael Ngusa

  Michael Ngusa JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2015
  Joined: Aug 4, 2014
  Messages: 1,647
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 145
  nitafute kuanzia kesho 0769 356124
   
Loading...