Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,097
- 53,485
Ili kuondoa kujuana na siasa kwenye makampuni ya serikali, ingekuwa ni vyema serikali ikajiondoa kwenye ushawishi moja kwa moja ikaorodhesha kwenye soko la hisa la dar es salaam ili kuongeza tija na ufanisi.
Mfano wa hayo makampuni ni;
1. ATCL
2. TTCL
3. NHC
4. TBA
5.
Ongeza na mengine.
Mfano wa hayo makampuni ni;
1. ATCL
2. TTCL
3. NHC
4. TBA
5.
Ongeza na mengine.