Makampuni ya uwekezaji WhatsApp

mumewanguu

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
261
259
Nimeingia Whatsapp nimeona magroup yanahamasisha uwekezaji na faida yaani unawekeza laki baada ya siku mbili yazaa asilimia mia moja. Hivi ni kweli au watu wanatumia fursa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUWA NASHANGAA SANA KUONA WATU WANATAPELIWA KWA UTAPELI WA AINA MOJA ULIOBADIRISHWA TU JINA
 
Ingia upigwe maana mnashindwa kutumia hata akili za kuzaliwa kwa mambo mengine.hiyo biashara wanauza roho za watu au?
 
Back
Top Bottom