Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

mkuu nimesearch kwnye the pirate bay nimepata hizi result hizi..mi nakumbuka kama nilidownload hiyo deluxe edition ila enzi hizo ilikuwa kwenye kick ass amabyo ishafungiwa saiz..so chagua hapo then tumia magnetic link udownload:
The Pirate Bay - The galaxy's most resilient bittorrent site
Shukrani
mkuu nilipata hili lkn niextract folder linaomba password km unayonisaidia. Nimegoogle sijapats
Microsoft. Flight. Simulator. X. Gold. Edition-Skidrow. Rar
 
Wakuu nipe hatua za kuweka mod maan hata sielewi na je hiz zitaapply hata kwenye vision ya zaman
extract mod folder lako kama lina .rar extension mpaka upate files ndani yake yenye .scs extension..lah kama folder ni .zip huna aja ya ku extract...copy contents (scs or zip) kwenye My Documents>Euro Truck Simulator>mod

fungua game..kwenye profile panel click 'mod manager' ingia umo utaona mod zote ulizo add, make them active af click 'confirm changes'
 
So baada ya kuzicopy naenda kuzi paste katika mod au siyo
 
Shukrani
mkuu nilipata hili lkn niextract folder linaomba password km unayonisaidia. Nimegoogle sijapats
Microsoft. Flight. Simulator. X. Gold. Edition-Skidrow. Rar
umedownload kwenye torrent? hiyo torrent ulipodownload ukiangalia vizuri lazima kutakuwa na maelezo ya password yake mkuu...hivi hivi inakuwa ngumu...kama ulidownload direct sio kwenye torrent napo ni ishu..lazima watakuwa wameweka maelezo ya kupata password yake. ndo mana unashauriwa kabla hujadownload kitu chochote online usome instructions zake na kama kuna comment za watu wengine waliodownload ili ujue ubora wa kitu ambacho unataka kudownload hasa kwa haya mafile makubwa kubwa unaweza ukapoteza mda wako bure...
 
Wakuu nipe hatua za kuweka mod maan hata sielewi na je hiz zitaapply hata kwenye vision ya zaman
maelezo ya kuweka mdo ni kama ulivyopewa hapo juu ila pia inabidi usome vizuri maelezo ya mod husika(readme file) humo utakuta maelezo ya compatibility ya version ya game na mambo mengine manake kuna baadhi ya mod kama zina part nyingi lazima uzipange kwa order na nyingine zinataka zikae juu ndo zinafanya kazi... so ni vizuri kusoma maelezo ya mod kabla hujaidownload manake kuna nyingine pia huwa zina crash game na utakuta watu waliodownload kabla yako wameshasema so unakuwa hupotezi mda kudownload tena...
 
Mkuu nimefanya kama maelekezo yalivyo ila ime niandikia THE GAME CONTAINS AUTHORISED MODIFICATIONS. No support is available for modified game.
 
ets2_00004.png
ets2_00000.png
 
Back
Top Bottom