Makampuni ya Simu yapora Watanzania kwa kuongeza gharama za Bando mara mbili ya kawaida, hakuna anayejali

Hamjajua kitu hapa ,hapa tumevurugwa lugha kama mnara wa babeli ,wewe unaposema vifurush vimepanda wengine tunakushangaa ofa za kila mtu zipo mfano vodacom ina ofa kwa kila mtu ambazo hutofautiana.hivyo hatuwez kuwa na lugha moja juu ya wiz wa bando unaofanywa na mitandao hii kwassbab kila mtu amepewa ofa zake za ununuz kutokan na matumiz yake
Ofa zangu za vifurushi vya data vinaanzia elfu kumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jus thinking

Kwa nini TCRA haipangi gharama za data na calls kama LATRA wanavyopanga nauli za mabasi na EWURA wanavyopanga bei za mafuta
Na mm nashangaa sijui kwann wanajiita regulator kheri wangejiita agency tu
 
Ni kweli kabisa, gharama zipo juu sana...

Alafu mamlaka husika wao wanahangaika na tozo za maudhui tu...




Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom