Makampuni ya simu naona sasa hali tete yaani hadi SMS sasa zinafuatiliwa

Mimi kuna hili huwa linanishangaza sana kwa mfano unanunua 20gb kwa mwezi, kama hujazitumia because ni mali yako uliyonunua naamini inapaswa kuwa carried forward kwa mwezi unaofuata ila cha ajabu sasa makampuni ya simu hayatekelezi hayo, lakini ikija kwao pengine umetumia zaidi 20gb ulizonunua kwao watalamba hata balance yako iliopo kwenye simu, honestly this is not fair for any language, kwamba wao ndio tu wenye haki ya kukudhulumu wakati kifurushi kimeisha kabla ya mwezi lakini wewe huna haki kama kifurushi chako hakijaisha, like umebakiwa na bundle ya 15gb kabla ya mwisho wa mwezi,kifurushi ambacho umenunua kwao ila wao wana haki hata kama umetumia 5gb ku confiscate your 15gb ,this is not fair at all
Mkuu hizo gb unajibiaga Email au kuchat jf tu?

Wenzako hata tupewe GB30 ni swala la week 2 tu kale kameseji ka kishenzi ka umebakiza 15MB lazima kata pop up!
 
Back
Top Bottom