Makampuni ya simu na sms zao ni haki hii au wizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makampuni ya simu na sms zao ni haki hii au wizi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mzamifu, Apr 4, 2012.

 1. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kila waka ndi! ndi! ndi! kwenye simu! haraka haraka unachungulia... FURAHIA ... CHAGUA .. SHINDA NK omba isije ikawa umenunua muda wa maongezi kupitia ... pesa utapigwa message hadi tano hii imekaaje?:lol:
   
 2. c

  charles mususa JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 208
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  wahuni watupu sijui wanatupeleka wapi natamani niwashitaki
   
 3. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Swali lako zuri hata mimi inanikera sana naamini tuko wengi tunaochukia hizi 'un solicited messages' hivi nini haki yetu kama wateja- TCRA mnasemaje?
   
Loading...