Makampuni ya Simu na Kampeni za Uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makampuni ya Simu na Kampeni za Uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by IshaLubuva, Jul 27, 2010.

 1. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kabla ya Juni 2010 ilikuwa ukipita kwenye barabara zenye bahati ya kuwa na nguzo za taa za ummeme zinazomulika barabarani ilikuwa ni kawaida kuona mabango ya kampuni mbalimbali za simu za mkononi yakiwa na matangazo yao ya kujinadi. Lakini kwa sasa hali iko tofauti sana kwani badala ya kuona matangazo ya kampuni za simu, kuna picha za Jk zikiwa na ujumbe wa chaguo letu, ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi. Hakuna hata sehemu moja ambayo utaona tangazo la mgombea wa chama kingine.

  Je inamaana hayo mabango huwa ni ya CCM au vipi?. Kama siyo kwani vyama vingine havina haki ya kuyatumia kwa ajili ya uchaguzi hata kama ni kwa kuyalipia (kwa kuzingtia kwamba nguzo za umeme ni mali ya shirika la umma) kama ambavyo huwa kuna fursa ya vyama vyote kutumia vyombo vya habari vya serikali?
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hIVI MUDA WA KAMPENI TAYARI UMEANZA?
   
 3. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :A S-alert1:Habari ndio hiyo Slaa anawawewesesha:A S-alert1:
   
 4. jossey1979

  jossey1979 Senior Member

  #4
  Jul 27, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inabidi nasisi tuangalie sehemu ambazo bado sisiemu hawajaparamia tuweke mabango yetu. ''DR. SLAA CHAGUO LETU 2010''
  wanajamii kwa pamoja tukiungana lazima CHADEMA titinge ikulu!
   
 5. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ile ya mikutano ya hadhara bado japokuwa ilikuwa inapigwa kiaina kwa staili ya kuwatambulisha wagombea, lakini kwa kubandika mabango barabarani inamaanisha ndo kampeni yenyewe hiyo. Sasa ni jukumu la Tume a Uchaguzi kuchekecha na kuainisha ipi ni kampeni na ipi siyo kampeni
   
 6. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #6
  Jul 27, 2010
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pale mtu yeyote anaweza kuweka matangazo yake, hata wewe ukiamua kubandika picha yako ni ruksa.
  Makampuni ya Simu yanalipia kuweka matangazo yake pale mkuu.. Naona CCM walishanunua yale mabango kwa mda huu wa uchaguzi kama yamebandikwa picha za JK.
   
 7. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona kuna sehemu nyingi tu zipo wazi!!!!
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,954
  Likes Received: 2,096
  Trophy Points: 280
  Bango alimbadilishi mgombea kuwa mzuri wala mimi mpiga kura kubadilisha mawazo! Nafikiri wagombea urais wawe na mdahalo; halafu atakaye sepa huyo hatufai!!! Tunataka tuwaweke kwenye mizani ili tuone nani anafaa - picha tu bila kumsikia ni bure - ni sawa na kuchagua mchumba kwa kutumia picha!!!!!!
   
 9. T

  Taso JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  who knows
   
 10. Jembe Ulaya

  Jembe Ulaya JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2010
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 456
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Picha za Jinga Kubwa zinatia kichefuchefu. Kamata kalamu ukiona bango andika juu yake SILAHA KIBOKO YAO.
   
Loading...