Makampuni ya simu kwa hili mmekosea

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Makampuni ya simu kwa hili mmekurupuka kutokana na utaratibu mliouanzisha. Wananchi pamoja na wageni wanakuja hapa nchini kwa muda mfupi hawataweza kupata huduma kwa muda muafaka. Kwa wananchi mliokuwa hamjui utaratibu mpya ni kwamba pindi uendapo kununua laini ya simu itakuchukua mda wa masaa 72 ambayo ni sawa na siku 3 ndipo uanze kupata huduma ya mawasiliano.
Swali langu ni je iwapo wewe ni mtumiaji wa voda na umeibiwa simu,utawezaje kutoa taarifa au kuwasiliana na ndugu zako? Au kwa wageni wanaokuja nchini kwa ajili ya mapumziko na mikutano hamuoni mtakuwa mmewanyima mawasiliano?
 
TCRA atakuja kutufafanulia haya maamuzi yao....Nchi za wenzetu ni dakika chache tu baada ya kununua line unakuwa hewani....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom