Makampuni ya simu/ isp yanhifadhi mawasiliano yetu kwa muda gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makampuni ya simu/ isp yanhifadhi mawasiliano yetu kwa muda gani?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Jan 25, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  wakuu na wataalam wa ICT na hata wanaojua sheria sheria hasa zinahusu mambo ya ICT

  Nependa kujua je sheria ya Tanzania inayataka makampuni ya simu yahifadhi mawasilino yetu kwa kwa muda gani kabla ya kuyafuta .

  I mean je kama mimi ni mteja wa ta tigo, zantel, voda, airtel oet toka mwaka 2005 kwa number zile ile je kampuni za simu zinazo rekodi

  • ya simu nilizopiga au kupokea
  • Ya sms nilizotumiwa au kutuma
  • wanazo rekodi za voice za mawasiliano niliyofanya.
  Na kama hakuna sheria je una mtu anajua policy ya kampuni yeyote kuhifadhi mawasiliano inayofanywa na wateja wake ikoje

  Je ISP nao wanahifadhi kumbukumbu ya sites na traffic za mteja kudafavua net kwa muda gani? Kuna sheria pia kama hakuna policy ya ISP zinasemaje?

  Nawasilisha kwa mjadala
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Ingia TCRA uangalie ila nafikiria dunia nzima system zinafanana...uwezo wa server pia ni kigezo na policy za nchi husika na regulatory yao!!
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Asante Mkuu TRCA hajaaadika hiyo kitu

  Nilipenda kujua ka,a kisheria ya nchi hapo kwenye policy za Tanzania kama zinawalazimisha kuweka logs za call na sms za muda fulani au ni wenyewe tu Tigo wanaweza kuwa nazo za miezi sita na Vodacom wakawa nazo za mwaka mzima.
   
Loading...