Ndg zangu, mwezi uliopita tulisikia kwamba kuna wafanyakazi 2 walifukuzwa kazi Barrick Buzwagi kwa kushabikia CHADEMA. Mwenye taarifa zaidi atupatie jamani. Hii ni hatari kama ni kweli
Hata ningekuwa mimi ningewatimulia mbali haiwezekani, kumuunga mkono mtu ambaye anahatarisha maslahi ya wawekezaji
Ubongo wako unahitaji tiba ya haraka sana. Nakushauri ukamwone daktari bingwa wa magonjwa ya akili. Unless utuambie may be unafanya kazi Mirembe Dodoma na mmoja wa wagonjwa ameiba password yako akamwaga huu upupu jeif.
Ndg zangu, mwezi uliopita tulisikia kwamba kuna wafanyakazi 2 walifukuzwa kazi Barrick Buzwagi kwa kushabikia CHADEMA. Mwenye taarifa zaidi atupatie jamani. Hii ni hatari kama ni kweli
WEWE UNASEMA
TUKO HAPA KIMASLAHI ZAIDI
YALAAA YALAAAH YALAAHA YALAAAH YASHABABI YALAAH NJOONI WOTE TTULICHEZE NGOMA KANIKUMBUSHA MBALI KIPINDI NIKO MISRI SIJAELEKEA KAANANI
washukuru wamefukuzwa mi ningeaweka ndani kabisa mpaka tar 1 NOV 2010
uwezi changanya kazi yangu na siasa ukaileta ajirani...tena kama mna cotwu watafuten hao tuwapumzishe mpaka tar moja nov