Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 4,621
- 1,706
Miongoni mwa makampuni yanayopata faida nyingi ni makampuni ya ujenzi. Nimeleta uzi huu kwasababu nimekuwa malalamiko kutoka kwa watu wanaofanyakazi kwenye makampuni ya kichina, mala nyingi wamekuwa wakilalamika kwa kitendo cha kulipwa malipo kidogo, kufanyakazi kwenye mazingira magumu, kufanyakazi kwa muda mrefu bila mikataba ya kazi fikiria mtu anafanyakazi miaka 5 au 7 hana mkataba wa kazi hana uhakika wa matibabu hana mafao baada ya kazi.
Kuna kampuni moja nitaitaja hii kampuni ni CCECC wananyanyasa sana.
Kuna kampuni moja nitaitaja hii kampuni ni CCECC wananyanyasa sana.