Makampuni makubwa yenye nguvu zaidi Duniani

Drop shipping Tanzania

Senior Member
Jun 15, 2020
198
472
1. Industrial and Commercial Bank of China
Benki hii ni kubwa na yenye uwezo zaidi duniani ikijulikana kwa kifupi ICBC na ikiwa na raslimali za zaidi ya Dola tril. 3 na thamani ya masoko ya Dola bil. 215. Iko sehemu zote isipokuwa Afrika na Antarctica.

2. China Construction Bank Corporation
CCBC ni kampuni la ujenzi la China ambalo liliingia Marekani mwaka 2006 na kuyanunua matawi ya Bank of America yaliyoko barani Asia. Matawi hayo yana thamani ya sokoni ya Dola bil. 174 tu, lakini nguvu yake ni kubwa.

3. Apple Inc.
NI dhahiri kampuni la Apple Inc. limo katika orodha hii likiwa na thamani ya sokoni ya Dola bil. 415.

4. Toyota
Kuna jiji nchini Japan limepewa jina la kampuni hiyo, wakati hata nchini Ujerumani hakuna mji unaoitwa Mercedes. Mauzo ya Toyota yalifikia Dola bil. 255.6 na ina wafanyakazi 320,000.

5. Samsung
Samsung ni kampuni maarufu kwa kuzalisha tevisheni na smart phone, lakini pia linajishughulisha kwa kiasi kikubwa na bima ya maisha, viwanda vikubwa, uhandisi, masuala ya anga za juu, ulinzi, matangazo na ufugaji wa wanyama.

Ni kampuni lenye makao makuu Korea Kusini na utajiri wake ni kiasi cha Dola bilioni 30.

Toa maoni yako hapo chini ;
 
nimeelewa kwamba sijaelewa chochote kwenye huu uzi, nguvu gani hizo?? au nikuelewe hivyohivyo tu?
 
Twende taratibu.
Naona watu humu Sikh hizi badala ya kujadili hoja wamekuwa watu wa simple mind. Hoja hupingwa kwa hoja.
Hebu nianze kwa kumsaidia mleta mada.
Hii hapa ni orodha ya banks the assets kubwa duniani
Screenshot_20210328-092312.png
 
Wapo wengi wamekuwa ni kupinga tu kila kitu wakati hawakijui. Hapa tunaongea facts na siyo porojo za Bidden.
Screenshot_20210328-092708.png
 
Unajuwa maana ya neno allegation au unajisemea tu?

One more thing, jifunze kuheshimu binadamu wenzako - agree to disagree without offending anyone, usifikiri hatuna uwezo wa kukujibu kwa kutumia Abrasive language.
Unahama tena kujadili makampuni unaanza kuongelea lugha!?
😀 😀😀
Sisi tunakupatia taarifa na evidences lakini mwenzetu unatuimbia taarabu za akina Bidden na CNN.

Unatakiwa ukubali dunia imebadilika. Huu ni wakati wa China. Mdogo mdogo USA ananyang'anywa utawala.
 
Back
Top Bottom