tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Leo makampuni kadhaa kwa umoja wao wametoa vifaa tiba kama mchango wao serikalini, na haikua ghafra ni mchakato uliowachukua muda mrefu.
Swali kwanini hawakutoa pesa taslim?Bilion kumi sio pesa ndogo!Baadhi ya secta ni karibu bajet yao nzima!Kwa mfano mahakama imepewa bilion 12 kama fedha za maendeleo kwa mbwembwe sana!
Swali kwanini hawakutoa pesa taslm?
Je, Serikali haiaminiki?
Kama inaaminika kwanini hawakupewa wazipangie nini cha kufanyia?
Au wamekumbuka kauli ya serikali na wadau, aliwahi pia kuitoa rais mstaafu Kikwete kuwa 30% ya bajeti inaliwa na wajanja so hii 10b ingekua 7b?
Mwisho hata hii serikali ya JPM haiminiki wakati rais anasema anaongea kutoka kwenye sakafu ya moyo wake na kudai tumwamini?