makampuni gani hapa dar yanawalipa vizuri watu wao wa mauzo;sales men

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Wadau plz nataka kufahamu makampuni gani hapa dar es salaam yanawalipa vizuri watu wao wa mauzo: yani sales man;sales representatives. Plz just enxious
 
Jamani kama kakosea au ka-type vibaya swali sio tatizo. Swali liko wazi...if you can, ebu msaidie kuliko kujifacha ma scrutinisers hapa!!
Mkuu we subiri mwenye jibu atakusaidia achana na hawa much know!!
 
Mkuu sijawahi ona sales wanalipwa sana,labda watu wa commercial&marketing ndio sana,sales hawalipwi sana sema kuna siasa ya comission ndio kipato chako kama hauuzi haupati hela kabisa.
 
biashara ya sales imebadilika sana siku hizi kampuni nyingi zinalipa in terms of commission lakini kwa mtazamo wangu ndio njia nzuri ya kutengeneza pesa na kuwa exposed zaidi kwa mtu wa sales ukifanya vizuri utaonekana na salary itapanda kwa atakayekuhitaji kwani utakuwa na negotiation power.
 
Back
Top Bottom