chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Akiongea katika harambee ya kuchangia ujenzi wa bweni la wasichana chuo kikuu cha Mzumbe amesema wanafunzi wa kike wanaosoma vyuo vikuu wanaongoza kwa tabia ya kujiuza miili yao, na kujipanga foleni kwenye hoteli na madanguro, na kuleta aibu kwa jamii
amesema zamani wao wkiwa wanasoma walikuwa wanaishi kwa 'bum' hilo hilo lakini walikuwa hawajiuzi na ameshangaa kwa nini sasa hivi wanafanya hivyo