Makamu wa Rais wa Zamani wa Marekeni pamoja na magenge ya wahuni wataka 'Tarrif Man' Trump kung'olewa madarakani

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,904
Makamu wa Rais wa Zamani wa Marekani Bw. Joe Biden akishirikiana na magenge ya wahuni na wavuta bangi wanatamani Rais mteule Tariff Man Trump apinduliwe kwa hoja za kuokoteza mtaani kutoka kwenye magenge ya wahuni.

Leo Biden kwenye kampeni amejitokeza kwa mara ya kwanza bada ya kujificha kwa Nancy Pelosi kwa muda sasa na kutaka Tariff man Trump apinduliwe eti kisha kuna mhuni mmoja kaokoteza taarifa huko na kumlalamikia Tariff Man Trump.

=====================

Biden and son.jpg

Joe Biden and son Hunter

Biden says for first time Trump should be impeached

Former vice president Joe Biden, who is one of the leading Democrats vying to take on Trump in the 2020 election, said the the president has "betrayed this nation" and violated his oath of office.

"To preserve our Constitution, our democracy, our basic integrity, he should be impeached," said Biden, speaking at a rally in New Hampshire.

"He's shooting holes in the Constitution, and we can not let him get away with it," he added.

The House impeachment probe centres on whether Trump withheld $400m in military aid from Ukraine in an attempt to pressure officials to investigate a gas company linked to Biden's son, Hunter.

Source: Al-Jazeera
 
Inaelekea wewe huelewi uhuni anaofanya Trump huko marekani na ndio maana unadhani ni mtu wa maana!!!! Sikulaumu kwani hujui siasa za hawa jamaa; marekani hakuna mtu aliye juu ya sheria na hayo ndio yanayomkuta Trump kwa kukiuka katiba wenzie wanataka kumuadabisha!! Huyo unayesema kaokoteza taarifa sio mtu wa barabarani bali ni shushushu aliyebobea na anajua anachokifanya kuwa ni kwa faida ya Taifa lake na wala sio kwa faida ya chama cha siasa!!!.
 
Kwanza lugha yako inatia ukakasi Makamo ndo nini? Bibi Pelosi ni Spika ina maana naye ni mvuta bangi? Mmezoea huku kwetu eti Rais haguswi lakini wenzetu hilo halipo. Kumbuka kesi ya Clinton na jinsi Nixon alivyojiuzuru urais? Nahisi wewe ndo unalipuliza hufanyi utafiti na kusoma kumbukumbu kabla ya kupost.
 
Ni uhuni mtupu,hakuna point ya maana kuitumia kama base for impeachment.Yani hadi sasa hakuna hata mmoja aliyeweza ku pin point.Kosa hasa la Trump kisheria na kikatiba ni lipi?..Hata Nancy Pelosi hajui ametangaza Impeachment kwa bases zipi.Huyo unayemuita whistle blower ameshagunduliwa ni Liberal Trump hater and political Bias.Sasa unaposema anaipenda nchi yake sijui una maana gani.
 
Huyo hajawahi kusikia rais akiwajibishwa kwa kukiuka katiba au kuvunja sheria kwa nchi za mbele... pengine hajawahi kisikia jina la Nixon achilia mbali kashfa wa watergate........
 
Wanaandika kwa mihemko bila kusoma data siyo data tu hata history ya mambo yanavyokwenda. They do not read or watch current affairs.
 
Ni uhuni mtupu,hakuna point ya maana kuitumia kama base for impeachment.Yani hadi sasa hakuna hata mmoja aliyeweza ku pin point.Kosa hasa la Trump kisheria na kikatiba ni lipi?..Hata Nancy Pelosi hajui ametangaza Impeachment kwa bases zipi.Huyo unayemuita whistle blower ameshagunduliwa ni Liberal Trump hater and political Bias.Sasa unaposema anaipenda nchi yake sijui una maana gani.

Trump is a national Security threat for soliciting a foreign power to interfere in the domestic electoral system. Yeye mwenyewe amekubali in public sasa wewe unatetea nini? Ushahidi wa kumuimpeach Trump upo na ndio maana hivi sasa he is busy trying to cover up his telephone transcripts!! If he is innocent why is he stonewalling congress subpoenas?
 
Do you understand English?

Labda nikuulize kwa lugha yako ya Kiswahili. Unajua tafsiri ya neno "Impeachmemt"?
Haya ndio matatizo ya shule ndogo. Sio kila neno la kingereza lina tafsiri ya moja kwa moja kwenye kiswahili.

Neno moja likikosa tafsiri ya moja kwa moja basi unaweza kulitafsiri neno hilo na neno lenye maana sawa au karibia na hilo neno ambalo tafsiri yake ipo.

Rudi shule uongeze maarifa.
 
Inaelekea wewe huelewi uhuni anaofanya Trump huko marekani na ndio maana unadhani ni mtu wa maana!!!! Sikulaumu kwani hujui siasa za hawa jamaa; marekani hakuna mtu aliye juu ya sheria na hayo ndio yanayomkuta Trump kwa kukiuka katiba wenzie wanataka kumuadabisha!! Huyo unayesema kaokoteza taarifa sio mtu wa barabarani bali ni shushushu aliyebobea na anajua anachokifanya kuwa ni kwa faida ya Taifa lake na wala sio kwa faida ya chama cha siasa!!!.
Huna unachokielewa ambacho mimi sikielewi.

Kwa akili yako mtu akishakua shushushu basi huyo ni exceptional, huwezi kuhoji anachokisema, sio? Akili ndogo kabisa hizi.
 
Kwanza lugha yako inatia ukakasi Makamo ndo nini? Bibi Pelosi ni Spika ina maana naye ni mvuta bangi? Mmezoea huku kwetu eti Rais haguswi lakini wenzetu hilo halipo. Kumbuka kesi ya Clinton na jinsi Nixon alivyojiuzuru urais? Nahisi wewe ndo unalipuliza hufanyi utafiti na kusoma kumbukumbu kabla ya kupost.
Nixon au Clinton yameingiaje hapa? Unaweza kua unajua kitu ila ukakosea kukihusisha na tukio lingine.

Hakuna aliesema Marekani rais hawezi kuchunguzwa au kuondolewa madarakani au kuna sehemu nimeandika hivyo? Sio kila story unaweza kuihusisha na story nyingine, jitahidi kua unaelewa mantiki (logic) kwanza.
 
Ni uhuni mtupu,hakuna point ya maana kuitumia kama base for impeachment.Yani hadi sasa hakuna hata mmoja aliyeweza ku pin point.Kosa hasa la Trump kisheria na kikatiba ni lipi?..Hata Nancy Pelosi hajui ametangaza Impeachment kwa bases zipi.Huyo unayemuita whistle blower ameshagunduliwa ni Liberal Trump hater and political Bias.Sasa unaposema anaipenda nchi yake sijui una maana gani.
Yule ni mhuni na mvuta bangi kama wahuni wengine.
 
Huyo hajawahi kusikia rais akiwajibishwa kwa kukiuka katiba au kuvunja sheria kwa nchi za mbele... pengine hajawahi kisikia jina la Nixon achilia mbali kashfa wa watergate........
Huna ambacho unaweza kua unakijua wewe mimi nisikijue.
 
Trump is a national Security threat for soliciting a foreign power to interfere in the domestic electoral system. Yeye mwenyewe amekubali in public sasa wewe unatetea nini? Ushahidi wa kumuimpeach Trump upo na ndio maana hivi sasa he is busy trying to cover up his telephone transcripts!! If he is innocent why is he stonewalling congress subpoenas?
Amekubali in public kua amefanyaje? Alikubali lini?

Huna chochote unachojua.
 
Nixon au Clinton yameingiaje hapa? Unaweza kua unajua kitu ila ukakosea kukihusisha na tukio lingine.

Hakuna aliesema Marekani rais hawezi kuchunguzwa au kuondolewa madarakani au kuna sehemu nimeandika hivyo? Sio kila story unaweza kuihusisha na story nyingine, jitahidi kua unaelewa mantiki (logic) kwanza.
Na hizo bangi ulizozieleza umezishuhudia wakivuta ndo wakaja juu? Kama si mantiki yako basi na mimi ninahisi ulikuwa umevuta wakati unaandika. Huwezi andika vitu serious ukaingiza mambo ya wavuta banghi bila kuthibitisha. Kwa Marekani katiba ndo inatawala kila kitu siyo kitu kingine. Trump atashitakiwa tu hata useme vipi sababu hayupo juu ya katiba na sheria za marekani. Ingekuwa bongo ni ndiyooooooo mbele kwa mbele.
 
Amekubali in public kua amefanyaje? Alikubali lini?

Huna chochote unachojua.

You must be a moron!! Trump publicly told journalists on the south lawn that he was inviting not only Ukraine but also China to investigate his political foe Joe Biden; as a way of helping his 2020 bid for reelection!!! It is a crime for an American to involve a foreign entity in their domestic politics!!
 
You milf can you site a credible and reliable source? Id.iot!
 
Back
Top Bottom