Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani anena mazito kwa Rais Magufuli

Mama Samia amewasilisha mawazo ya mamia ya wanawake wa kitanzania.

Kila la heri katika ngwe hii ya lala salama
 
Si yale yale tuu ya kusifia,
Kuna lipi jipya hapa?
Lipi zito lilio nennwa?
Au kampeni ndio zimeanza?

Mengi amefanya, sifa mpeni,
Yapo mapya, wewe huyaoni,
Mama wa kaya, mazito kaweka hadharani,
Kanuni twajua za kaya, kwa sasa bado kampeini.

Zaidi ya asilimia 60% ya nchi haina umeme.
Zaidi ya Asilimia 70% haina maji ya bomba na salama.
Maji yako Mijini tuuna baadhi ya Vijiji.
Rejea hotuba, za Mawaziri,
Nishati si-haba, Vijijini mijini kwanawiri,
Na takwimu wazibumba, nini hasa wafikiri,
Nani wampa huba, kupe beberu nafikiri.
Unaepuka takwimu zenu wenyewe?
Siasa bana Kweli si Hasa
Wapi umepata, hizi takwimu?
NBS sijapata, upi utimamu?
Siasa zakupeleka puta, hutaki ukweli mtamu,
Battawi tulizana Mkata, ili usipoteze tiamu.
====
Ha ha haa! Hapa ni mguu kwa mguu mpaka tufike, Malenga.
 
Hotuba zilizoshiba bila unafiki ni hizi. Mwanamke jasiri kama huyu baada ya kutoweka wa kina Bibi Titi Mohammed umepata kumuona wapi zaidi?
Fungueni akili zenu mtafakari kwa makini ushujaa huu wa Halima sio hayo mapambio ya madebe matupu.

Mnajulikana hamjui mnachosimamia!
 
Roho yako ina sumu mbaya sana Chief
Wahi Hospital ukaangaliwe vzr
Nahisi CCM wana sumu zaidi kuliko mimi,
Kuwavunjia raia majumba yao pale jangwani na sehemu nyingi nchini ,ni roho safi!
Unajuwa Nyinyi CCM. mulivyo na roho mbaya ,mumekunywa damu za wengi tuu kwa ajili ya kubaki madarakani.
Mumempiga Risasi Aquline mchana kweupe akiwa ndani ya Dala dala ,kisha mukawasingizia wapinzani eti ndio walisababisha kuuliwa.Sasa Mbona mumelipaFidia na si wapinzani?
Kama si roho mbaya nini.
Mumempiga mwandishi wa habari kule Iringa mchana kweupe na kumuuwa, Hii si roho Mbaya?
mumemdhulumu Maalim Sefu Ushindi wake kwa kufuta uchaguzi kule ZNZ kweupe,kila mtu anajuwa mumedhulumu.

Naona si tayamaliza
You name it ....................no end .
Mimi ndio niwasifie nyinyi kwa kuwa mumenona kwa sura senu kunawiri kwa mishahara minono ,huku wengi mitaani tukiugulia shida ,Biashara kuharibika.
 
Unapalilia kutu ndani ya Roho yako Chief
Ukamilifu,ni wa Mola tu aliejuu
Nahisi CCM wna sumu zaidi kuliko mimi,
Kuwavunjia raia majumba yao pale jangwani na sehemu nyingi nchini ,ni roho safi!
Unajuwa Nyinyi CCM. mulivyo na roho mbaya ,mumekunywa damu za wengi tuu kwa ajili ya kubaki madarakani.
Mumempiga Risasi Aquline mchana kweupe akiwa ndani ya Dala dala ,kisha mukawasingizia wapinzani eti ndio walisababisha kuuliwa.Sasa Mbona mumelipaFidia na si wapinzani?
Kama si roho mbaya nini.
Mumempiga mwandishi wa habari kule Iringa mchana kweupe na kumuuwa, Hii si roho Mbaya?
mumemdhulumu Maalim Sefu Ushindi wake kwa kufuta uchaguzi kule ZNZ kweupe,kila mtu anajuwa mumedhulumu.

Naona si tayamaliza
You name it ....................no end .
Mimi ndio niwasifie nyinyi kwa kuwa mumenona kwa sura senu kunawiri kwa mishahara minono ,huku wengi mitaani tukiugulia shida ,Biashara kuharibika.
 
Mengi amefanya, sifa mpeni,
Yapo mapya, wewe huyaoni,
Mama wa kaya, mazito kaweka hadharani,
Kanuni twajua za kaya, kwa sasa bado kampeini.

Rejea hotuba, za Mawaziri,
Nishati si-haba, Vijijini mijini kwanawiri,
Na takwimu wazibumba, nini hasa wafikiri,
Nani wampa huba, kupe beberu nafikiri.

Wapi umepata, hizi takwimu?
NBS sijapata, upi utimamu?
Siasa zakupeleka puta, hutaki ukweli mtamu,
Battawi tulizana Mkata, ili usipoteze tiamu.
====
Ha ha haa! Hapa ni mguu kwa mguu mpaka tufike, Malenga.
Umegeuka malenga, bora usanii huu kuliko kutuaminisha yale ya mama samia na propaganda za kumsifu Mzee magu mpenda kusifiwa
 
Umegeuka malenga,
Malenga twakusubiri, hoja kuntu uzilete
Ukichelewa shubiri, utainywa ya Makete
Hakuna kukariri, na mtu usitete
Kiatu cha mtoto, hakimponyi Mama mbigili.

TUJITEGEMEE nipo, ila hapa kaditama
Tanzania ipo, waichukiao nao watahama
Battawi ulipo, leta hoja sikufichama
Ujue hakuna kapa, isiyokuwa na usubi
====
Leo Mkuu umeamusha mzuka wangu wa 'kimalenga'.

Nashukuru sana.
 
Hotuba safi toka kwa mama wa nguvu Mama Samia .
Upinzani hawana mama wa nguvu wamejaza visichana vi sister du vikina Halima Mdee
Vyama vya upinzani Vimekosa malezi ya akina mama wa nguvu kama Mama Samia ,CCM tuna mama wa nguvu
Kwa kweli Mama Samia ni wa nguvu kweli yupo vizuri sana.
 
Si yale yale tuu ya kusifia,
Kuna lipi jipya hapa?
Lipi zito lilio nennwa?
Au kampeni ndio zimeanza?

Zaidi ya asilimia 60% ya nchi haina umeme.
Zaidi ya Asilimia 70% haina maji ya bomba na salama.
Maji yako Mijini tuuna baadhi ya Vijiji.

Unaepuka takwimu zenu wenyewe?
Siasa bana Kweli si Hasa
kumbuka tuna miaka 50 na zaidi tangu tupate uhuru, magufuli ana miaka minne na miezi kadhaa akiwa raisi sasa unadhani atamaliza matatzo yote ndani ya muda huo? acha apewa sifa kwa jitihada zake tunazoziona, kuna watu wana miaka 24 wakiongoza vyama vyao hata ofisi tu zimewashinda kujenga.
 
Back
Top Bottom