magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,337
Waziri wa uchukuzi na mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewasimamisha kazi watendaji 4 wa kampuni ya huduma za meli Mwanza kutokana na kufanya kazi kinyume na sheria za utumishi
Walio simamishwa ni Kaimu meneja mkuu Fabian Mayenga,Mwanasheria Josephat Mshumbusi Kaimu Meneja Ununuzi Abdallah Rumila pamoja na meneja miradi Alex Mchaura.