Kwa uhalisia ni vigumu kwa Makame kusitisha zoezi la uhesabuji kura, kutokana na kuteuliwa kwake na kikwete. Hata amri ya kuchakachua matokeo inatoka kwa JK, Makamba na Kinana.
Ndio kura zimechakachuliwa na Slaa naushahidi wa kutosha juu ya hilo, na nzuri zaidi haukonesha kuwa anajipendelea yeye maana ameonesha hata yale maeneo amabyo CCm walipata kura nyingi na zimetangazwa chache. sasa basi kwa kuwa ushahidi upo si aupeleke TUME ili kuwaaminisha na kuwalazimisha wasitishe huo utangaji wa matokeo feki. Kubaki kulalamika kwenye vyombo vya habari hakutasaidia kitu sana sana kunazidi tu kututia hasira maana TUME haita react kwa taarifa ya vyombo vya habari, so Slaa ni jasiri apeleke tu ushahidi huu tume!
Acheni kupotosha umma nyie, mtu ameshindwa mwataka kumtetea. Slaa habebeki hata mumbebe vipi. Msidhanie umati mkubwa mliokuwa mwaupata ndio na kura zitakuwa hivyo hivyo, wengi si wapiga kura wale na wala hawakujiandikisha kabisa. Poleni sana na mjipange upya ndugu zanguni.
Wewe mzanzibari, pilipili iliyoko shambani.....yakwenu si yameisha? Kama si mzenji wewe, basi unatoka Tanga!
Hapa nchi za wenzetu makame, makamba na kingunge wangekuwa nursing home wanavalishwa nepi.Hivi umri wa kustaafu kwa wafanyakazi wa NEC ni miaka mingapi?? Can't wait fo Makame to go.....................Hivi kwani hana wajukuu wa kucheza nao mpaka anang'ang'ania kazi asiyoiweza?? Walioamua muda wa kustaafu uwe miaka 60 nafikiri walisha juwa kuwa uwezo wa binadamu huwa unapungua kutokana na umri na maisha ya mwanadamu inasemekana ni miak 70. Sasa sijui kwa nini jamaa wengine wanataka kufia kazini??
Mungu ashughulike na wizi huu atoe hukumu ya haki wakati sisi tunajaribu kuwaza(kwa akili aliyitupa Mungu) nini cha kufanya wizi huu ukomeshwe ili maisaha ya watanzania yasizidi kuwa Magumu
Hapa nchi za wenzetu makame, makamba na kingunge wangekuwa nursing home wanavalishwa nepi.
Makame atalipwa na Mungu mwachie tu
Acheni kupotosha umma nyie, mtu ameshindwa mwataka kumtetea. Slaa habebeki hata mumbebe vipi. Msidhanie umati mkubwa mliokuwa mwaupata ndio na kura zitakuwa hivyo hivyo, wengi si wapiga kura wale na wala hawakujiandikisha kabisa. Poleni sana na mjipange upya ndugu zanguni.