Elections 2010 Makame hana ubavu wa kusitisha zoezi la uhesabuji kura

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Kwa uhalisia ni vigumu kwa Makame kusitisha zoezi la uhesabuji kura, kutokana na kuteuliwa kwake na kikwete. Hata amri ya kuchakachua matokeo inatoka kwa JK, Makamba na Kinana.
 
Huyu Makame si kama Punda wa CCM? Sasa tangu lini punda akamgeuka bwana wake. Hope ataendelea kumlinda na kumtumikia Kikwete na CCM kwa uaminifu mkubwa at the expense of Tanzanians lives
 
Jamani tupeane mikakati, nini kifanyike, kwani ni wazi kura zimeibiwa vibaya sana. Wametumia pesa nyingi sana na wakitawala lazima wataiba sana.
 
Ndio kura zimechakachuliwa na Slaa naushahidi wa kutosha juu ya hilo, na nzuri zaidi haukonesha kuwa anajipendelea yeye maana ameonesha hata yale maeneo amabyo CCm walipata kura nyingi na zimetangazwa chache. sasa basi kwa kuwa ushahidi upo si aupeleke TUME ili kuwaaminisha na kuwalazimisha wasitishe huo utangaji wa matokeo feki. Kubaki kulalamika kwenye vyombo vya habari hakutasaidia kitu sana sana kunazidi tu kututia hasira maana TUME haita react kwa taarifa ya vyombo vya habari, so Slaa ni jasiri apeleke tu ushahidi huu tume!
 
Kwa uhalisia ni vigumu kwa Makame kusitisha zoezi la uhesabuji kura, kutokana na kuteuliwa kwake na kikwete. Hata amri ya kuchakachua matokeo inatoka kwa JK, Makamba na Kinana.

Acheni kupotosha umma nyie, mtu ameshindwa mwataka kumtetea. Slaa habebeki hata mumbebe vipi. Msidhanie umati mkubwa mliokuwa mwaupata ndio na kura zitakuwa hivyo hivyo, wengi si wapiga kura wale na wala hawakujiandikisha kabisa. Poleni sana na mjipange upya ndugu zanguni.
 
Ndio kura zimechakachuliwa na Slaa naushahidi wa kutosha juu ya hilo, na nzuri zaidi haukonesha kuwa anajipendelea yeye maana ameonesha hata yale maeneo amabyo CCm walipata kura nyingi na zimetangazwa chache. sasa basi kwa kuwa ushahidi upo si aupeleke TUME ili kuwaaminisha na kuwalazimisha wasitishe huo utangaji wa matokeo feki. Kubaki kulalamika kwenye vyombo vya habari hakutasaidia kitu sana sana kunazidi tu kututia hasira maana TUME haita react kwa taarifa ya vyombo vya habari, so Slaa ni jasiri apeleke tu ushahidi huu tume!

Waambieni wakina Marando na Tundu Lissu wamsaidie, sasa mbona wamemuacha mzee wa watu peke yake ? Jana wakati anaongea na waandishi alikuwa mdogoooo hadi anatia huruma, aiseee na ubunge hana tena basi hasara kote kote
 
Acheni kupotosha umma nyie, mtu ameshindwa mwataka kumtetea. Slaa habebeki hata mumbebe vipi. Msidhanie umati mkubwa mliokuwa mwaupata ndio na kura zitakuwa hivyo hivyo, wengi si wapiga kura wale na wala hawakujiandikisha kabisa. Poleni sana na mjipange upya ndugu zanguni.

Wewe mzanzibari, pilipili iliyoko shambani.....yakwenu si yameisha? Kama si mzenji wewe, basi unatoka Tanga!
 
Hivi umri wa kustaafu kwa wafanyakazi wa NEC ni miaka mingapi?? Can't wait fo Makame to go.....................Hivi kwani hana wajukuu wa kucheza nao mpaka anang'ang'ania kazi asiyoiweza?? Walioamua muda wa kustaafu uwe miaka 60 nafikiri walisha juwa kuwa uwezo wa binadamu huwa unapungua kutokana na umri na maisha ya mwanadamu inasemekana ni miak 70. Sasa sijui kwa nini jamaa wengine wanataka kufia kazini??
 
Mungu ashughulike na wizi huu atoe hukumu ya haki wakati sisi tunajaribu kuwaza(kwa akili aliyitupa Mungu) nini cha kufanya wizi huu ukomeshwe ili maisaha ya watanzania yasizidi kuwa Magumu
 
Mie mbara na tena mbara niliye pevuka kila sehemu ! Acheni kuwadanganya watu, mambo ya bure hawayataki tena na wamekataa sera za bure , msiwalazimishe watu kupenda bure , tena ww yaonekana unapenda vya bure shauri yako, km una mke au mchumba watakusaidia wenzako kwa kupenda bure, hata mie pia nitakusaidia ili nikupe vya bure
 
Hivi umri wa kustaafu kwa wafanyakazi wa NEC ni miaka mingapi?? Can't wait fo Makame to go.....................Hivi kwani hana wajukuu wa kucheza nao mpaka anang'ang'ania kazi asiyoiweza?? Walioamua muda wa kustaafu uwe miaka 60 nafikiri walisha juwa kuwa uwezo wa binadamu huwa unapungua kutokana na umri na maisha ya mwanadamu inasemekana ni miak 70. Sasa sijui kwa nini jamaa wengine wanataka kufia kazini??
Hapa nchi za wenzetu makame, makamba na kingunge wangekuwa nursing home wanavalishwa nepi.
Makame atalipwa na Mungu mwachie tu
 
101025015201_kikwete_slaa.jpg

Makame...angalia nani bosi hapa
 
Mungu ashughulike na wizi huu atoe hukumu ya haki wakati sisi tunajaribu kuwaza(kwa akili aliyitupa Mungu) nini cha kufanya wizi huu ukomeshwe ili maisaha ya watanzania yasizidi kuwa Magumu

Shida mnajipa wenyewe kwa kupenda kutofanya kazi kwa bidii na maarifa , sasa mmeambiwa mtapewa vya bure ndio wote mmedanganyika kuwa enzi za peponi zinarudi. Acheni kudanganyika, fanyeni kazi mpate maisha mazuri
 
Hapa nchi za wenzetu makame, makamba na kingunge wangekuwa nursing home wanavalishwa nepi.
Makame atalipwa na Mungu mwachie tu

Halafu Jumapili wa kwanza St Albano...mzee wa kanisa...sijui ndio alipeleka ule mlungula kwa Dr Mokiwa?
 
Wewe unayejiita Genius Brain, una qualifications gani kwanza? Sielewi km unaangalia taarifa za habari na kutafakari au unakuwa km watangazaji wa ITV na TBC wanaosema Lipumba amemuacha Dr.Slaa kwa kura elfu tano tano za Zenji, Majimbo saba ya Zenji hayafikii jimbo moja la Ubungo sasa hiyo inatoka wapi? Makame amesema ameulizwa kwa nini hawatangazi majimbo aliyoongoza Dr.Slaa, alichojibu ni kuwa wao wanatangaza matokeo wanayopokea na si vinginevyo. Baadae ameulizwa mbona matokeo wanayotoa ni tofauti na yale ya Dr.Slaa?akasema ni kweli lakini wao wakiyapata wanayahakiki kwanza then ndo wanayatoa. Sasa jiulize, masanduku yamebaki kigoma, wewe umeletewa karatasi ya Kikwete-20,000, Slaa-5,000 na sahihi za mawakala pamoja na mihuri. Sasa km unasema unafanya uhakiki ni uhakiki gani huo unaofanyiwa Dar es salaam wkt kura zipo Kigoma?Hiyo haihitaji degree ya Engineering ili kutambua ht mtoto wa darasa la tatu atajua huo ni uhuni. So, kabla ya kutoa comments tambua kuna watu wenye uwezo wa kufikiria kuliko hao mafisadi wanao wadanganya na kofia na tishirts za mtelezo.
 
Acheni kupotosha umma nyie, mtu ameshindwa mwataka kumtetea. Slaa habebeki hata mumbebe vipi. Msidhanie umati mkubwa mliokuwa mwaupata ndio na kura zitakuwa hivyo hivyo, wengi si wapiga kura wale na wala hawakujiandikisha kabisa. Poleni sana na mjipange upya ndugu zanguni.

Nani anayepotosha umma kama sio wewe na hiyo CCM yako. Halafu tumekushtukia huna chochote zaidi ya kuhongwa kofia na chupi.
Mtu mzima utadhani una mtindio wa ubongo! Umeoza!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom