Makame angeahirisha uchaguzi ili wanavyuo wapige kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makame angeahirisha uchaguzi ili wanavyuo wapige kura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Oct 11, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimemsikia Mwenyekiti wa NEC aliyeteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye wadhifa huo, Lewis Makame ktk Channel 10 leo usiku akisema tume yake haina uwezo wa kuwasaidia wanafunzi wa vyuo kupiga kura ktk sehemu za vyuo walikojiandikisha!! Kidogo niipasue TV yangu!!!!

  Nikajiuliza: Hivi kweli NEC ni huru na taasisi inayosimamia demokrasia? Kwa nini tangu mwanzo alipoona vyuo vitakuwa bado vimefungwa asiahirishe uchaguzi kwa wiki moja tu ili wanafunzi wapate fursa ya kupiga kura? Kweli alikuwa hana uwezo huo? Au anafuata amri tu ya serikali ya chama tawala?
   
 2. Mantissa

  Mantissa JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Yaani wewe kama mimi tu, kidogo nipasue TV, hivi hizi zote ni njama tu za kutaka CCM irudi madarakani? Kwa kweli TZ hii, basi tu.
  Anyway, nitapanda gari kwenda Dar ili nikamchague rais wangu.
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Yaani haw a wanaweza kuahirisha hat a daladala zisifanye kazi Sikh hiyo ili tushindwe kwenda kupiga kura
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  "Anyone that wants the presidency so much that he'll spend two years organizing and campaigning for it is not to be trusted with the office
   
Loading...