Makambi ya Vijana

Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,499
1,582
Leo raisi magufuli amewaagiza wakuu wa mikoa wapya kwenda kuwapeleka vijana kwenye makambi kuliko kuwaacha kucheza pool table bila ya kazi, je makambi hayo ni yapi,kuna malipo au, samahani wana jamii
 
Kama itakuwa ni ajira basi itakuwa ni kitu kizuri sana
 
Anajua anacho kifanya. Ni aibu asubuhi kijana kaamka anakunya viroba huku anacheza pool table. Muda wa kuzalisha anatoa wap???
Hao ndio wanatutia kabali mtaani muda wote.
Najua ata watafutia tu kazi. Kuna bonde la mto rufiji, kilombero, ruaha n.k

Tukiwapoleleka huko ata kwa viboko kwanza shida ya njaa itaisha. Pili watu watajifunza kuwa maisha sio lele mama na kukabakaba wamama na wadada town
 
Naona itakuwa nguvu kazi kama ya enzi ya Mwalimu
 
Back
Top Bottom