Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

Kwa Hawa viongozi wa dini most likely amekula kondoo wa watu. Most likely maana mauaji kutekelezwa ndani ya kanisa tena hapo town kabisa Kuna jambo...
Bora ale mke K haina makombo japo inauma akiliwa.

Kama kala kijana wa kiume miaka kumi kumi na tatu mzazi ukijua utachanganyikiwa na kuchukua uamuzi unaomfurahisha shetani
 
Uchunguzi ufanyike kwa kina ndani ya kanisa, maana inaonekana kauwawa akiwa ofisini, hivyo ni vyema kanisa likatoa ushirikiano wa kina kwa Jeshi la Polisi ili wahusika wakamatwe.
 
IMG_1722.jpg

Eneo alilo uawa muhusika
 
Jaman roho za watu zimegeuka kama roho za kuku kwa namna damu inavyomwagwa.
Ni hali ngumu inayofanya vichwa viende resi au ni nini?
 
Wamegusa pabaya!! Hiyo ndio tiketi ya kuondoka kitalani!!yaani mauaji ndani ya nyumba ya kijasusi!!!utasikia "tunaomba ukae pembeni muelekeo wako inasababishwa taharuki kubwa huko mbeleni!!wakati wa giza umefika Mungu tusaidie!!
 
Wamegusa pabaya!!hiyo ndio tiketi ya kuondoka kitalani!!yaani mauaji ndani ya nyumba ya kijasusi!!!utasikia "tunaomba ukae pembeni muelekeo wako inasababishwa taharuki kubwa huko mbeleni!!wakati wa giza umefika Mungu tusaidie!!
Kwamba chui jike.
 
Tutaisha wote hadi kwenye vyombo vya Imani? Kha! Tanzania kuna jambo linaendelea ss wadogo hatujalitambua kabisaaa jan na feb embu zipite tuuu
Tumeshachoka habari za mauaji kila kona ya nchi.
 
Kwa Hawa viongozi wa dini most likely amekula kondoo wa watu. Most likely maana mauaji kutekelezwa ndani ya kanisa tena hapo town kabisa Kuna jambo.

Unakuta mke anajifanya anaenda kufagia kanisa au kuimba kwaya kumbe ndio analiwa na hawa jamaa wapo kanisani wanakula sana waimba kwaya.

Ukiona mkeo anajifanya mtu wa kwaya chunguza sana utakuta umalaya wake anaifanyia hukohuko church.

Nasema most likely.
Kwa mbaaaaali kama kuna ukweli vile
 
Genocide maana yake ni jamii moja kuangamiza jamii nyingine kwa lengo la kuifuta kabisa jamii husika.

Mwandishi tuambie ni jamii gani ina lengo la kuangamiza jamii nyingine.

Vinginevyo, rekebisha kichwa cha habari maana si kizuri
 
Kilichonichekesha ni Kusikia eti wanafunga "NOVENA" ili muuaji apatwe na balaa! Wakati wote ni wazinzi typical!!
 
Back
Top Bottom