Makambako: Diwani wa Chadema afunguliwa mashtaka ya Uchochezi kisa kawambia wananchi mwikatae ccm uchaguzi zijazo

Diwani wa Chadema Amefunguliwa shitaka la uchochezi huko Makambako.

"ANAHAMASISHA WANANCHI KUWA WAIKATAE CCM KWENYE UCHAGUZI UNAOKUJA WA SERIKALI ZA MITAA"*
Kitambulisho cha Mmachinga ni njia rahisi iliyoletwa na Mungu mwenyewe ili kuing'oa ccm madarakani
 
Kwani mbona Polepole anahamasisha wananchi wasiwachague wapinzani na hakamatwi? Kuna mwingine Kabaka anawaambia Wamchague Kilango ubunge na haonywi wala kukamatwa. Hata mtoto wa mkulima Pinda anasema waziwazi nia yake kuhakikisha Msigwa anaondoka, wako kimya. Hawa polisi wanajidhalilisha sana kufanya siasa za CCM. Kumbe wapinzani wakinyaka nchi upolisi unaishia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom