January Makamba: Umeme mwisho kukatika wiki mbili, baada ya hapo nitafukuza watu

Sawa kwahiyo zile tozo za Kodi ya majengo zinazotozwa kwenye luku kwa kila Mita zinaleta Zaidi ya 3.2 Bilioni kila mwezi!!
Vipi wizara ya ardhi wametoa takwimu na hesabu ya hili?
Walishawahi kukusanya kiasi hiki kwenye Kodi ya majengo?
 
Duh. Yaani nchi ya watu million 60 ina wateja wa umeme 3.2 million tu. Hapa kazi bado ipo....!! Inawezekana kuna lots of eligal connections wao hawana habari.

Siyo kila mtu kwenye familia ni Mteja. Mita moja unaweza kukuta inatumiwa na familia ya watu 6
 
Kwani hao milioni 60 kila mtu ana nyumba yake? Tena ujue idadi hiyo ni pamoja na watoto.
Na mashoga wamo humo, wale wenye vishundu uwanja wa fisi nao wamo, wala ngada wamo na majitu mengine ya ajabu-ajabu!
 
Ndugu,umechanganya na mawazo yako au ni yote ni ya mhusika?pengine cha kufahamu ni kuwa,mfumo wa umeme ni rafiki,na unao mfumo kujisimamia wenyewe kwa maana ya kuhakikisha usalama,kuna hililafu mfumo utajizima Hadi pale hitilafu itaondoshwa.Hivyo nafikiri kwa wataalamu wanayajua hayo,na hiyo ndio maana ya kutumia weledi na sii siasa hata kwa yale ambayo siasa haiwezi kutatua.
Ukisoma Kwa kutulia utaona neno "wazembe au uzembe"
 
Makusanyo trillion mbili inawezekana kabisa
Inawezekana mikakati ikifanyika sasa na kuendelea. Lakini huyu mkuu amesema idadi hiyo ya wateja tayari imeliwezesha shirika kukusanya kiasi hicho cha pesa, kitu ambacho si kweli. Kuwezekana yanawezekana mengi sana mkuu. Hii nchi ina resources nyingi sana, nchi inaweza kujitegemea kwa kila kitu. Tuna idadi kubwa sana ya watu wanaokula keki ya taifa bila kuwa na manufaa kwa Taifa, tukipunguza hata hao tu, mambo madogo madogo kama madarasa, madawati, zahanati nk tusingekua tunachangishana huko vijijini.
 
Kuna watu wanaweza dhani hii ni nguvu ya soda.

Mark my words January ni Magufuli (only mellow) wanapishana mbinu tu za kufikia agenda zao.

Mama akitaka apae zaidi afanye swap nyingine ya kumrudisha Jaffo ‘TAMISEMI’ na Ummy alipokuwa Mazingira.

Huo ni ushauri wa bure

Hakuna anayeutaka
 
Sijui kama hiyo 2 trilioni ya Tanesco inayozungumziwa hapa ni ya kweli au la; lakini sielewi wewe hasa unacholenga ni nini na hayo "makusanyo ya nchi nzima" unalenga nini hasa? Makusanyo ya kodi mbalimbali?

Inawezekana pia kujua ukweli au uongo wa hiyo trilioni 2 ya Tanesco kwa kuangalia hao wateja wake 3.2 milioni iliyonao. Tunajua kati ya hao walipaji wakubwa ni viwanda, hawa watumiaji wa nyumbani ni kiasi kidogo sana. Kwa hiyo tunaweza kujiuliza kama kuna viwanda vinavyotumia kiasi kikubwa cha kuchangia hiyo trilioni 2 zinazosemwa hapa!

Hata mimi nadhani huu ni uongo anaotuuzia waziri, na hata yeye naona kauziwa uongo huo bila hata ya kuudadisi kidogo, akiwa ni mgeni katika wizara hiyo.

Tatizo kubwa la nchi yetu ni kupatikana takwimu za uhakika. Sijui kama huko wizarani wanazo takwimu za kuaminika. Hata kule kuzitangaza mara kwa mara wananchi wajue hatua tunazopiga kwenda mbele, wao wanaona hiyo ni siri ya wizara na shirika lao!

Matatizo yetu sehemu zote yako hivyo hiyo!
Hoja yangu ni kwamba, makusanyo (mapato) ya nchi kwa mwezi kutoka vyanzo vyote, hayafiki trillion 2, iweje tuambiwe idadi ya wateja wa TANESCO imeliwezesha shirika kupata mapato ya zaidi ya trillion 2?? Kipindi cha JPM pamoja na msukumo mkubwa na data za uongo juu yake, tuliambiwa mapato ya nchi kwa mwezi yalifika trillion 2 kwa shida sana, zaidi ilikua ni trillion 1.8 au 1.9.
 
Sijui kama hiyo 2 trilioni ya Tanesco inayozungumziwa hapa ni ya kweli au la; lakini sielewi wewe hasa unacholenga ni nini na hayo "makusanyo ya nchi nzima" unalenga nini hasa? Makusanyo ya kodi mbalimbali?

Inawezekana pia kujua ukweli au uongo wa hiyo trilioni 2 ya Tanesco kwa kuangalia hao wateja wake 3.2 milioni iliyonao. Tunajua kati ya hao walipaji wakubwa ni viwanda, hawa watumiaji wa nyumbani ni kiasi kidogo sana. Kwa hiyo tunaweza kujiuliza kama kuna viwanda vinavyotumia kiasi kikubwa cha kuchangia hiyo trilioni 2 zinazosemwa hapa!

Hata mimi nadhani huu ni uongo anaotuuzia waziri, na hata yeye naona kauziwa uongo huo bila hata ya kuudadisi kidogo, akiwa ni mgeni katika wizara hiyo.

Tatizo kubwa la nchi yetu ni kupatikana takwimu za uhakika. Sijui kama huko wizarani wanazo takwimu za kuaminika. Hata kule kuzitangaza mara kwa mara wananchi wajue hatua tunazopiga kwenda mbele, wao wanaona hiyo ni siri ya wizara na shirika lao!

Matatizo yetu sehemu zote yako hivyo hiyo!
Kodi mbalimbali (vyanzo vyote vya makusanyo ya mapato ya serikali).
 
Sikiliza, mimi siyo mpuuzi kama wewe.
Ninapoandika jambo sibahatishi au siandiki kwa kumpendeza mtu.

Hizo takwimu zilizoandikwa hapo kama umekwenda shule unaweza ukaziamini wewe. hata kama ni kilaza?

Mwenye jukumu la kutoa takwimu ni hao hao wanaofanya uzembe; ndio, kuanzia kwa huyo waziri mpya anayetafuta sifa bila ya kuangalia uhalisia wa jambo, usinitake mimi nitoe takwimu, lakini nikiona ubabaishaji naelewa ni ubabaishaji kama anavyofanya waziri wako.

Hopeless kabisa. Sijui umeibuka kutoka wapi, kwa sababu sijawahi kukuona hapa jukwaani hata siku moja. Au ndio washangiliaji wapya wa hii timu ngeni?

Alaaa, kumbe wewe ni kilaza wa yule shetani wa Chato! Ningesoma hadi mwisho nisingepoteza muda wangu kujibu upuuzi.
Kichwani mwako inaonekana umejaza tope tu, nimesema wwe unapinga data za waziri Makamba kuwa sio,tupe za kwako basi tukuamini,unabaki unatema pumba tu,hivi unafikiri Makamba anadanganya ili kupata nini?,kama si chuki zako binafisi zidi ya tanesco
 
Duh. Yaani nchi ya watu million 60 ina wateja wa umeme 3.2 million tu. Hapa kazi bado ipo....!! Inawezekana kuna lots of eligal connections wao hawana habari.
We nae ndio wale wale tu, unadhani 60mil ya watu basi Mita ziwe ngapi?
 
haha yani tanesco kwa mwezi wakusanye 2 trillion kweli wakati TRA tuu hutoa takwimu za nchi nzima kwa ujumla hawafikishi trillion 1.5 na ikifika haivuki 1.8..... kwa maana hiyo tukikusanya hela za TRA na tanesco tunakuwa na trillion 3 .9 kwa mwezi.... sasa kama kwa mwezi tunaweza kupata trillion 3-4 kwanini tunakopa trillion 3? mbona nchi inaweza kujiendesha na kugharamia miradi yote bila mikopo?

aiseee hizi takwimu ni za mashaka sana
 
Mwambieni aje huku kwetu mlimba,tanesco wanakusanya pesa ya nguzo kwa wateja na kuanza kuwazungusha hadi mwaka unaisha bila kuwawekea umeme majumbani kwao na pesa wamekuka.
Shida ni kuwa pesa yote inaenda makao makuu halafu kwenye jungu kuu. Makao makuu wana priorities zao ambazo sio za watu wa Mlimba. Tanesco Mlimba hawawezi kufanya kitu bila kuwezeshwa na Makao Makuu. Na ushamsikia waziri akizungumzia makusanyo bila kuzungumzia mahitaji. Tayari wanazipigia hesabu. Matatizo makubwa ni ya wana siasa, sio watendaji ingawa nao wanachangia.

Amandla...
 
Duh. Yaani nchi ya watu million 60 ina wateja wa umeme 3.2 million tu. Hapa kazi bado ipo....!! Inawezekana kuna lots of eligal connections wao hawana habari.
Tofautisha idadi ya watu na idadi ya wateja, kumbuka idadi ya wateja ni sawa na idadi ya kaya au nyumba zilizounganishiwa umeme, utakuta kaya moja ina watu 20.
 
Yaani TANESCO ikusanye zaidi ya trillion 2 kwa mwezi wakati makusanyo ya nchi nzima kutoka vyanzo vyote vya mapato ya serikali hayafiki trillion 2 ?? Mkuu ukiwa unaongea jitahidi kujisikiliza ili uone wapi unakosea. Hebu tupe makusanyo ya nchi kwa mwezi.
Mkuu umeuliza na matumizi yake yakoje , au unadhani umeme unazalishwa pasipo na matumizi yeyote ya pesa
Grarama za uendeshaji mitambo ya kuzalisha umeme za kila siku, zipoje ?
 
Well that’s not my problem it’s just an advice.

But it usually bites; Jaffo anajitahada za kuacha alama, anazo communication skills za kuwagusa wananchi, understands use of media for propaganda purposes and better equipped to convey the government message to the targeted audience kushinda Ummy Mwalimu.

Na TAMISEMI ina wagusa watu moja kwa moja inahitaji mtu wa kushawishi mama anafanya kazi, hizo propaganda Jaffo anaziweza.

Ni hivi kama mnataka mama yenu aendelee after 2025 anamuhitaji Makamba popote, Jaffo ‘TAMISEMI’, Dr Gwajima Afya na Bashiru Kwa ushauri.

Kwa sasa mama she is being set up, kazi yake ionekane mbovu (and it’s not a complicated mission kwa sababu hana vision yake ya kuisimamia wala uwezo wa kuendesha nchi) kikulacho kiko nguoni mwako.

Kama uamini kwa namna anavyoongoza nchi come 2025 mama apiti miaka 800 bila ya kubadilisha mbinu za uongozi wake.

Tusiandike mate wino hupo; watch this space. Issue sio gender ni uwezo wake.

Asubuhi njema.


Wewe na Kiingereza chako cha hovyo, nani kakwambia CCM wanachagua based on uwezo? Hivi mpaka Leo mawaziri wa Afya wangekuwepo!

We Jaffo Acha kuja kutuongelesha ujinga, jengeni maisha yenu kwa nguvu zenu na Sio kila siku to dance with the tunes of Uteuzi.
 
Back
Top Bottom