Makamba: Namshangaa Majaliwa kwanini hadi leo bado yuko Dar

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Amesema kama tatizo ni nyumba aende ataimalizia huko huko.

Mytake: Kwa uelewa wangu Makamba ni baadhi ya viongozi waanzilishi wa mchakato wa kuhamia Dodoma, mbona wao hawakuonyesha mfano wa kutangulia?

Kutoka magazetini.
 
Mkuu nimefungua fasta hii habari yako maana napenda kweli nikisikia Lumumba wanatoana meno lkn nimejikuta naelea tu, weka habari kamili kamanda twende sawa.........kauli hiyo imetolewa na Makamba Mkubwa au Mdogo na kaitolea wapi?
 
Ukiizeeka si mwili tu hata akili inazeeka.

Hii habari imeandikwa kwenye gazeti la JamboLeo.
 
Amesema kama tatizo ni nyumba aende ataimalizia huko huko.

Mytake: Kwa uelewa wangu Makamba ni baadhi ya viongozi waanzilishi wa mchakato wa kuhamia Dodoma, mbona wao hawakuonyesha mfano wa kutangulia?

Kutoka magazetini.

Makamba baba au January?
 
Amwandikie waziri mkuu memo ahamie Dodoma haraka sana.
 
" ...kuna ulimwengu wa jamii forum na ulimwengu halisi...jf kila mtu anaomba tawi la mti aliokalia likatwe.." Ndebile wa JF
 
Back
Top Bottom