Makamba na yeye atolewa BANGUSILO:

Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,483
159
Heshima Mbele wana Bodi,Nimekaa nikifikiria ni kwanini mpaka sasa ,Mheshimiwa Yusuph Makamba ambaye ni katibu mkuu wa chama Tawala ,mpaka muda huu hajatoa tamko kuhusu Tuhuma za Ufisadi za ukweli alizopata WAziri Mkuu aliyefukuzwa kwa kudhalilishwa,kuaibishwa na kuonewa sana ,ndugu Lowassa,Je anasimamia upande upi?na kwanini asimfute uanachama ndugu Rostam Aziz

au ndio mambo yake ya ushabiki kwa Viongozi wezi na wanaoihujumu uchumi?kumbuka alivyowahi kumtetea Manji.na mpaka sasa hajampongeza ndugu Pinda.
 
Hili lilikuwa bao la kushtukiza kwa hiyo wanajipanga upya na mpira umewekwa kati wanatakiwa waanze mchezo uendelee. Nadhani viongozi wa juu wa CCM hawakujua haya yatatokea kama yalivyotokea. wamezoea kuzima mambo mengi na mengine makubwa kuliko hili. but this time, moja ilitamkwa moja na mbili ilitamkwa mbili na maneno hayakumung'unywa. Akiamka atampongeza
 
..una maana this time wengi wao waliwekwa kando?
 
Nina maana walikuwa wakiamini kuwa wataizima kama walivyozoea, si unakumbuka vikao kibao vya wabunge wa ccm kuwekana sawa kabla ripoti haijasomwa? Makamba alishindwa na ndiyo bado kapigwa butwaa hadi sasa
 
..nijuavyo mimi makamba awezi kuzima mambo kama hayo. hiyo ilikuwa kazi ya EL.

..halafu,moto mwingine ni hatari hata kujaribu kuuzima,utaungua!
 
Heshima Mbele wana Bodi,Nimekaa nikifikiria ni kwanini mpaka sasa ,Mheshimiwa Yusuph Makamba ambaye ni katibu mkuu wa chama Tawala ,mpaka muda huu hajatoa tamko kuhusu Tuhuma za Ufisadi za ukweli alizopata WAziri Mkuu aliyefukuzwa kwa kudhalilishwa,kuaibishwa na kuonewa sana ,ndugu Lowassa,Je anasimamia upande upi?na kwanini asimfute uanachama ndugu Rostam Aziz

au ndio mambo yake ya ushabiki kwa Viongozi wezi na wanaoihujumu uchumi?kumbuka alivyowahi kumtetea Manji.na mpaka sasa hajampongeza ndugu Pinda.

Huu muziki mkubwa, Makamba hauwezi.
Lbda shauriane na jamaa zake.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom