Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 8,266
- 8,478
Hii ni sawa na Mchawi kumpigiqa kelele za mchawi kila kukicha, akishindwa kuwanyamazisha atawaroga, ndio haya ya Makamba, Huyu ni Fisadi na kelele za ufisadi zina mkera, hana jinsi na nadhani iongekuwa yeye ndo JK angeshautekeleza Mpabngo wa Masha wa Kum fleece Mengi. Huyu ni chiriku tu ndo maana hata kwenye chama anawaingiza machriku wenzake kwani wakikaa pamoja stori zinapanda. Huyu hawezi kukaa meza moja na akina Mwakyembe, Seleli, Kilango, Mpendazoe, Zambi nk. Huyu anaweza kaa meza moja na kina Komba Cpt, Chitalilo a.k.a Kikojozi, Rostam, Masha et al.
Hii ni sawa ni Mbweko usio na Mbwa, teh... tehe. kho,
Hii ni sawa ni Mbweko usio na Mbwa, teh... tehe. kho,