Makamba, Kinana na Membe ni 'level' nyingine. Wajiandaa kwenda kujibu hoja, wahusika wataka suluhu ya kichama kimyakimya!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
6,026
Points
2,000

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
6,026 2,000
Katika kile kinachoonekana kama kuepuka kuepusha mgongano, mvurugano na mtifuano kwenye mwaka huu wa uchaguzi, wakuu chamani wameamua na kupanga kumalizana na Makamba, Kinana na Membe kimyakimya.

Makamba, Kinana na Membe walitajwa kama watu waliopaswa kuitwa na kwenda kujibu tuhuma zao za kimaadili kwenye Kamati ya Maadili ya CCM. Lakini, hadi sasa hakuna wito uliowafikia wahusika hao na tayari wakuu wa chama wameamua kusaka suluhu bila sururu.

Inaaminika na kukumbukwa kuwa Makamba, Kinana na Membe ni wanaCCM wenye ushawishi mkubwa chamani na kuwashughulikia kwa sasa, miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani ni kuukaribisha mgogoro na kasoro ndani ya CCM.

Watatu hao, kwa mujibu wa makada waandamizi chamani, wanatajwa kama watu muhimu kiushauri na kikampeni katika kuhakikisha kuwa CCM inaibuka na ushindi wa kishindo kuliko nyundo kwenye uchaguzi mkuu ujao ambao tayari uko kwenye kona kama ya Banana.

Naunga mkono Makamba, Kinana na Membe kuachwa kama walivyo. Else, kama wakongwe chamani tutawatetea na kubaki nao kichama!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwa sasa Tunduma, Tanzania)
 
mfilisti

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Messages
3,468
Points
2,000

mfilisti

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2015
3,468 2,000
Watatu hao, kwa mujibu wa makada waandamizi chamani, wanatajwa kama watu muhimu kiushauri na kikampeni katika kuhakikisha kuwa CCM inaibuka na ushindi wa kishindo kuliko nyundo kwenye uchaguzi mkuu ujao ambao tayari uko kwenye kona kama ya Banana.
pamoja na yote haya lakini pia tamko la kusema waitwe kuhojiwa lilikua la kukurupuka
 
Freddie Matuja

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
646
Points
1,000

Freddie Matuja

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
646 1,000
Polepole alitoa taarifa hadharani kuwa maamuzi ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) yameamua wahusika waitwe na kuhojiwa. Waziri wa zamani aka-tweet kujibu hoja kwa hoja.

Kuna taarifa rasmi maamuzi yameyeyuka au ndo bongo kuna watu wanafanya kazi ofisi kubwa na wana- capacity ya kunusa hata maamuzi ya vikao vya nyuma ya pazia???
 
fundimchundo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2010
Messages
273
Points
250

fundimchundo

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2010
273 250
Katika kile kinachoonekana kama kuepuka kuepusha mgongano, mvurugano na mtifuano kwenye mwaka huu wa uchaguzi, wakuu chamani wameamua na kupanga kumalizana na Makamba, Kinana na Membe kimyakimya.

Makamba, Kinana na Membe walitajwa kama watu waliopaswa kuitwa na kwenda kujibu tuhuma zao za kimaadili kwenye Kamati ya Maadili ya CCM. Lakini, hadi sasa hakuna wito uliowafikia wahusika hao na tayari wakuu wa chama wameamua kusaka suluhu bila sururu.

Inaaminika na kukumbukwa kuwa Makamba, Kinana na Membe ni wanaCCM wenye ushawishi mkubwa chamani na kuwashughulikia kwa sasa, miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani ni kuukaribisha mgogoro na kasoro ndani ya CCM.

Watatu hao, kwa mujibu wa makada waandamizi chamani, wanatajwa kama watu muhimu kiushauri na kikampeni katika kuhakikisha kuwa CCM inaibuka na ushindi wa kishindo kuliko nyundo kwenye uchaguzi mkuu ujao ambao tayari uko kwenye kona kama ya Banana.

Naunga mkono Makamba, Kinana na Membe kuachwa kama walivyo. Else, kama wakongwe chamani tutawatetea na kubaki nao kichama!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwa sasa Tunduma, Tanzania)
Inapendeza sana kuona Dr. Bashiru Ally na Dr. John Magufuli wakikomaa kisiasa.
Mgogoro ndani ya familia hautakiwi kutangazwa kwenye magezeti.
Fikiria hoja zikitolewa hadharani, kisha Wanachama wa CCM wakaona kuwa hoja za Mzee Makamba, Mzee Kinana na Kachero Mbobezi Membe zina mashiko kuliko za Dr. Bashiru na Dr. Magufuli, hali katika Chama itakuwaje.
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Messages
2,453
Points
2,000

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2011
2,453 2,000
Katika kile kinachoonekana kama kuepuka kuepusha mgongano, mvurugano na mtifuano kwenye mwaka huu wa uchaguzi, wakuu chamani wameamua na kupanga kumalizana na Makamba, Kinana na Membe kimyakimya.

Makamba, Kinana na Membe walitajwa kama watu waliopaswa kuitwa na kwenda kujibu tuhuma zao za kimaadili kwenye Kamati ya Maadili ya CCM. Lakini, hadi sasa hakuna wito uliowafikia wahusika hao na tayari wakuu wa chama wameamua kusaka suluhu bila sururu.

Inaaminika na kukumbukwa kuwa Makamba, Kinana na Membe ni wanaCCM wenye ushawishi mkubwa chamani na kuwashughulikia kwa sasa, miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani ni kuukaribisha mgogoro na kasoro ndani ya CCM.

Watatu hao, kwa mujibu wa makada waandamizi chamani, wanatajwa kama watu muhimu kiushauri na kikampeni katika kuhakikisha kuwa CCM inaibuka na ushindi wa kishindo kuliko nyundo kwenye uchaguzi mkuu ujao ambao tayari uko kwenye kona kama ya Banana.

Naunga mkono Makamba, Kinana na Membe kuachwa kama walivyo. Else, kama wakongwe chamani tutawatetea na kubaki nao kichama!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwa sasa Tunduma, Tanzania)
Tuwe serious hata kama hatuipendi CCM. Nani hasa mwenye ujasiri wa kuwahoji Makamba Sr, B Membe na Kinana?

Hawa wote wanaopiga kelele sasa hivi walikuwa wapi wakati hawa wazee 3 wanatumikia CCM? Kwa mfano Bashiru Ally alikuwa CUF, kweli huyu anayo moral authority ya kumhoji Kinana?
 
sweettablet

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Messages
3,906
Points
2,000

sweettablet

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2014
3,906 2,000

Sasa kama wana nguvu na ushawishi kiasi hicho chamani ya nini kuna humu na kuanza kuwatetea wasihojiwe eti kampeni na blah, blah? Waache waitwe ili tuone wenyewe.
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Messages
2,453
Points
2,000

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2011
2,453 2,000
Katika kile kinachoonekana kama kuepuka kuepusha mgongano, mvurugano na mtifuano kwenye mwaka huu wa uchaguzi, wakuu chamani wameamua na kupanga kumalizana na Makamba, Kinana na Membe kimyakimya.

Makamba, Kinana na Membe walitajwa kama watu waliopaswa kuitwa na kwenda kujibu tuhuma zao za kimaadili kwenye Kamati ya Maadili ya CCM. Lakini, hadi sasa hakuna wito uliowafikia wahusika hao na tayari wakuu wa chama wameamua kusaka suluhu bila sururu.

Inaaminika na kukumbukwa kuwa Makamba, Kinana na Membe ni wanaCCM wenye ushawishi mkubwa chamani na kuwashughulikia kwa sasa, miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani ni kuukaribisha mgogoro na kasoro ndani ya CCM.

Watatu hao, kwa mujibu wa makada waandamizi chamani, wanatajwa kama watu muhimu kiushauri na kikampeni katika kuhakikisha kuwa CCM inaibuka na ushindi wa kishindo kuliko nyundo kwenye uchaguzi mkuu ujao ambao tayari uko kwenye kona kama ya Banana.

Naunga mkono Makamba, Kinana na Membe kuachwa kama walivyo. Else, kama wakongwe chamani tutawatetea na kubaki nao kichama!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwa sasa Tunduma, Tanzania)
Tuwe serious hata kama hatuipendi CCM. Nani hasa mwenye ujasiri wa kuwahoji Makamba Sr, B Membe na Kinana?

Hawa wote wanaopiga kelele sasa hivi walikuwa wapi wakati hawa wazee 3 wanatumikia CCM? Kwa mfano Bashiru Ally alikuwa CUF, kweli huyu anayo moral authority ya kumhoji Kinana?
 
Forum statistics

Threads 1,391,625
Members 528,439
Posts 34,085,741
Top