Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Aliapa humu kuwa lazima mwanawe awe waziri....haijawa hakuna cha January wala February
Au ni ile kashfa kutoka kwa yule mama wa kimarekani imemnyima uwaziri?
Aliapa humu kuwa lazima mwanawe awe waziri....haijawa hakuna cha January wala February
Hii picha ndio imemponza January...........
nadhani ile kazi alitakiwa kuiacha kabla ya kugombea... sijui lakini, labda wataalam watatuambiaHivi January atendelea na kazi yake hapo Ikulu kama mshauri.?