Makamba kafungwa mdomo?

Zee la shamba

Member
Joined
Oct 17, 2007
Messages
55
Points
95

Zee la shamba

Member
Joined Oct 17, 2007
55 95
Toka uchaguzi wa Halmashauri kuu ya ccm(NEC)uishe huko Dodoma Makamba amekuwa kimya sana kitu ambacho si kawaida yake. Ni kitu
gani kimemsibu? Mwenye taarifa zake namuomba atuwekee hapa JF.
 

Nshomile

Member
Joined
Nov 21, 2007
Messages
48
Points
0

Nshomile

Member
Joined Nov 21, 2007
48 0
Lakini hata Katibu mustaafu wa CCM kulikoni? Naona amaanza kulost huko Iringa, naye vipi mbona kazimia? au ndio hivyo waswahili wanaita kuporomoka kisiasa!
Makamba nafikiri alikuwa bado anajiweka sawa hasa kujiimarisha na uongozi mpya wa sasa ambao una changamoto kali. Nina imani tutamsikia tu. Nafikiri leo au kesho ananguruma Zanzibar. Juzi alikuwa kwenye mkutano wa muafaka wa ccm na cuf huko bagamoyo. Ninajua bado anayakusanya makombora. Kikwete anampenda sana yule mzee.
 

Forum statistics

Threads 1,365,729
Members 521,318
Posts 33,353,772
Top