Makamba Jr: Elimu bure inawezekana

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Ameyasema hayo wakati akitoa hotuba katika kongamano la uhuru Udsm. Na akakiri kuwa tuna wazee wengi ambao walisoma bure na iliwezekana ni kwa nini isiwezekane?
 
Dr. Slaa alisema elimu bure Tanzania na wengi walimbeza. Wengi wetu pia tumesoma mpaka Masters degree bure, sasa ndio wanakubaliana naye?
 
Mwanzoni waliambiwa wakakataa sasa naona wanajifanya kuelewa.
 
Dr. Slaa alisema elimu bure Tanzania na wengi walimbeza. Wengi wetu pia tumesoma mpaka Masters degree bure, sasa ndio wanakubaliana naye?
Tena Mzee Yusuph Makamba na Kinana huyu wanayemsifia ndio walikuwa wapinzani wakubwa sana elimu kutolewa bure
 
Sio kwamba wanajifanya kuelewa ni kina chamaji ya 2015 kirefu wananza kupima upepo kwa kuukubali ukweli kujifanya wanahuruma

kwa watanzania ilikujenga kukubalika mioyoni wa watz kumbe ufisad tu.
 
Sio kwamba wanajifanya kuelewa ni kina chamaji ya 2015 kirefu wananza kupima upepo kwa kuukubali ukweli kujifanya wanahuruma

kwa watanzania ilikujenga kukubalika mioyoni wa watz kumbe ufisad tu.

Una pointi fulani hapo.
 
Ameyasema hayo wakati akitoa hotuba katika kongamano la uhuru Udsm. Na akakiri kuwa tuna wazee wengi ambao walisoma bure na iliwezekana ni kwa nini isiwezekane?

Mzimu wa Dr. Slaa unawamaliza. Walitumia nguvu nyingi sana kwamba elimu bure haiwezekani. Sasa wanaucheza muziki wa CHADEMA kila mtu wa MAGAMBA kwa staili yake. Mara ooooh Kamati Kuu ya MAGAMBA inaiagiza Serikali kuteremsha bei ya vifaa vya ujenzi, ooooooh, elimu bure inawezekana, ooooooooh, Ritz afilisiwe utajiri, ...........!!!!! Mara ooooooooooh, MAGAMBA wasitegemee nguvu ya Polisi n.k.
 
Zile kura za mkutano mkuu zimeanza kumlevya na kumpa kiburi huyo msambaa wa Lushoto,
 
Wanaendelea kucheza na beat za Chadema!!!Hilo linawezekana kabisa,but vichwa vya wabongo yaani mpaka basi!!Hata bei za bati na saruji inawezekana kushuka bei
 
CCM kwa sura nyingi utawaweza? Nani alijua kuwa mtu kama Nape angetetea gamba wakati alikuja na gia ya kulivua akaishia kulivaa?
 
mbona sion mada creative zilizoongelewa pale zikijadiliwa humu.. Au kwa vile ss watz tunapenda kujadili mepesimepes
 
Kinachosumbua nchi yetu ni kukosekana kwa ideology. Hii kukazania uburebure na wakati mwingine kuitaka serikali kuondoa kodi kwenye bidhaa/huduma ni matunda ya utupu huu wa ideology. Suala hapa si kutoa elimu bure ( nina hakika itagharamiwa kwa namna moja au ingine), bali kuhakikisha elimu bora kwa vijana wetu na kuwawezesha kubadilisha maisha yao katika mazingira ya sasa. Tusije tukarudi kulekule tuliko sasa ambapo tunahesabu maendeleo ya elimu kwa kuhesabu vyumba vya madarasa, idadi ya secondary/ shule tulizojenga badala ya kuangalia zao la elimu tunayotoa! Tusifike kuhesabu watoto wanaomaliza sekondari bure hata kama hawana elimu sahihi!
 
Ameyasema hayo wakati akitoa hotuba katika kongamano la uhuru Udsm. Na akakiri kuwa tuna wazee wengi ambao walisoma bure na iliwezekana ni kwa nini isiwezekane?
Anakwenda kinyume kabisa na ilani ya chama chake kilchompa ubunge Bumbuli - anatakiwa achukuliwe hatua ndani ya chama

Huwezi kusimama ukaanza kutoa mawazo ya ilani ya CDM, basi tuambieni kwamba wewe ni CDM tujue moja.
 
suala la elimu bure ni calculation tu ya hesabu.. Inawezekana kabisa kutenga fedha za elimu bure halafu sekta nyingine, usitengee chochote. Its possible bt is a crisis
 
Back
Top Bottom