Makamba haogopi mtu ndani ya CCM isipokuwa JK na Msekwa

Hivi vyama vya nchi jirani na nyingine, kama kenya au sa, katibu wa chama anakuwa ni pendekezo la mwenyekiti au ni chaguo la wanachama? Maana naona kauli ya Makamba inaonyesha utiifu wake ni kwa walio mpendekeza na si kwa wanachama au wapiga kura wake(wajumbe wa CCM waliompigia Kura) etc
 
CCM inajua kabisa kwamba kifo cha nyani miti yote huteleza. Na sasa ni wakati wao.

Demokrasia ya kweli ndiyo ufunguo wa Maendeleo.
 
Back
Top Bottom