Makamba hana adabu kabisa;akujua mwosha huoshwa-masauni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamba hana adabu kabisa;akujua mwosha huoshwa-masauni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Apr 12, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,235
  Likes Received: 5,619
  Trophy Points: 280
  Wakati mji wa dodom aukiendelea na sherehe za aina yake za kuukimbiza utawala wa fashist Makamba na wenzake aliekuwa mwenyekiti wa uvccm amewaasa watanzania wanaoshika madaraka ya chama wasijisahau hata kidogo..wanachowafanyia wenzao ipo siku watafanyiwa tena wakiwa dunian...
  Mh masauni amesema alisikitika sana kuona huyu mzee alivyofikia kumtukana na wazazi wake kisa uongozi wa chama..na kusema CCM ilikuwa inaelekea pabaya kama si kusahaulika..amempoongeza mh kikwete kwa mabadiliko na kumuasa yasiishie hapo kwani kuna ufirauni mwingi tu ccm Umejaa

  UVCCM....Kama atawalea wale watoto ipo sikui atakuja kutukanwa hadharani...wale watoto wajinga sana wanafikia kumtukana mtu kama sumaye bila kujua umuhimu wake..alisema

  Mh makamba kwaniaba ya familia yangu binafis pdidy nakupongeza kwa aibu iliokukuta ilifika sehemu nikasema hivi mpaka unatukana watu hivi n mganga wa tanga amekuhakikishia ungóki ama??tatizo ukujua Mungu yupo..pole karibu mtaani
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaa mkuu umenifurahisha sana ...kwa niaba ya familia yako binafsi....
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,235
  Likes Received: 5,619
  Trophy Points: 280
  Hongera sana mzee wetu kwa aibu iliokukuta
  pili nasikitika ukuweza kutumia elimu yako ya kusoma na kushika neno la mungu ili wasikufukuze kwa aibu namna ile..ni ajabu mpaka mtoto alie tumbon mwa mama zao awaamini kilichotokea na kweli ni yule yule aliesema akuna a kuntoa mpaka 2012

  ivi wakati ukisema haya ukujua mungu ni mwaminifu na hana uhusiano na waovu..najua yawezekana umetumia njia nyingi kule tanga kubaki madarakani napenda kumpongeza mwenyezi mungu mjaza neenma ndogo ndogo na kubwa ndefu na fupi nene na nyembamba kwa kumkumbusha makamba hapa duniani tunapita na akuna alieandaliwa makao ya milele zaidi ya pdidy....,

  tatu
  baibo inasema mpnde adui yako na si mbaya kukutakia maisha mema ya uraiani na kuendelea kutunza kile ulichochuna ukiwa katibu..si mbaya kumwomba mwenyekiti kama ana kauwezo akupe hata kaudiwan cha kuchaguliwa hapa dar es salaam bado tunakukumbuka

  kila la kheri

  wasaalaaamu
  pdidy
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Yanamtokea puani sasa kibabu huyu!
   
 5. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,773
  Likes Received: 2,675
  Trophy Points: 280
  Jamani ni weke sawa hapa akina Makamba walitimuliwa au walijiuzulu, maana nilisikia kuwa M/kiti wa Chama aliivunja CC, huko si ndio kutimua watendaji jamani..!?
   
 6. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tumia AKILI na sio HISIA aliyejiuzuru si makamba pekeyake ni CCM IMEJIVUA GAMBA, makamba anaijua biblia kwasababu mke wake ni MKRISTO
   
 7. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  NImeipenda hiyo, maana kuna watu wanajisahau sana wakijiona wao ndio miungu ya dunia.:tape:
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,235
  Likes Received: 5,619
  Trophy Points: 280
  akribu mkuu ila hivyo vyeo vya kuogopa sana unaweza hata mkeo usiwe na hamu ya kupishana nae...nilicheka zaidi alipopeleka barua na kuomba ana msiba mkulu akamwambia kamtume mwanao kkaaaahhhaa hizi misiba mbona azitokei zinatokea wakati wa kufukuzwa tu ...so sweet i luv CHI CHI EMU
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,235
  Likes Received: 5,619
  Trophy Points: 280
  Mpiga mbizi/aah /kelele
  awa walitimuliwa tena kwa aibu..kama ulivyosema mkulu alisema jamani imefika wakati kamati wakawajibika ..babuyako mathread kilichomlinda akasoma nyakati akawahi kuomba pen ya jiran kumbe alikuwa na karatasi karibu akaandika kujiuzulu..ninachojua kujiuzulu unaamua wewe binafsi..uwezi ambiwa kesho nisikuone ama jiuzulu ukaandika barua na kudai umejiuzulu..na wale wanaowaandikia talaka wenzao watasemwaje??

  Kifupi mzee yamemkuta..nafikiri yule jamaa wa tanga aliekuwa akimlinda kazi anayo....namkaribisha mtaan ila ndio hivyo sehemu za kujificha hapa jangwan wametubomolea sijui tutamhifadh wapi mzee wetu..
   
 10. W

  WildCard JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Makamba ameshinda sana tu. Kaondoka na kundi kubwa tu la watu wakati alipaswa kufukuzwa kabisa. Mwanaye yumo mle.
   
 11. chobu

  chobu JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Muosha huoshwa!
   
 12. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu unajigeuza Masauni halafu unatoa flag kwa niaba ya familia yako. Kuwa Fair kwa Masauni maana aliumia sana akasikitika sana na akalia sana kwa uchungu uliosababishwa na Ferouz naye kapigwa chini, Marope naye kapakatwa na Rz1 siku zake huyu zinasubiri baba atoke madarakani
   
 13. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi Makamba alivyokuwa jeuri sikutegemea kikao cha siku mbili tu kingemng'oa madarakani. Kwa utaahira wake akazidisha hasira yangu kwa kunukuu maandishi matakatifu ati anaenda kuandaa makao kana kwamba yeye ni Yesu! Pumbafu makamba hivi nani kamwambia atakuwa na maisha mazuri mtaani hadi awaandalie na wenzake makao? Ajiandae kupambana na hasira za wananchi hasa wale wa Wazo Hill aliowanyima maji kwa kuelekezea mabomba yote nyumbani kwake. Mjinga makamba siku si nyingi tutakusahau na sijui utawapeleka wapi wajinga wenzako kama Tambwe hiza n.k

  Makamba Pumzika mahali pa moto motoni. Amen
   
 14. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK alichofanya ni kulipa fadhila kwa Kinana na Meghji, maana wote walihusika kwa kiwango kikubwa kumwingiza yeye ikulu. Kwa mnauye na January Makamba ni ule mwendelezo wa utawala wa kifalme.
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,235
  Likes Received: 5,619
  Trophy Points: 280
  unakunywa
  vaisirooh??umenifurahisha sana
   
 16. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Only time can tell.
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hmethod swafi sana!!! marope ningependelea yamkute ya gbagbo wa ivory coast.
   
 18. k

  kibajaj Senior Member

  #18
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aibuuuuu! haooooo! :bored: waliwazomea chadema sasa wanazomeana wenyeweeee! Na bado tunasubiri hao waliopewa siku 90
  jamani wengine hadi machozi! Facist makamba arudi bumbuli akalime kabichi. Hata hivyo ccm wamechemsha wanajeshi kila kona kuanzia uongozi wa juu hadi wakuu wa wilaya uniashia kuskia meja mstaafu luteni kanali mstaafu kama vile nchi inaongozwa na jeshi bwana. haya sasa makamba kawadhalilisha bado chiligati na kichaa hiza tambwe
   
 19. U

  Uswe JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Aliwahi kusema (miaka miwili iliyopita) kwamba ye hana shida hata angeacha madaraka (wakati ule) pensheni yake inamtosha kuishi maisha mazuri kabisa, kwa hiyo yeye si mganga njaa na hana shida
   
 20. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0

  Napiga mzee we nipe nichanganye na coca bariiiidi!
   
Loading...