MAKAMBA amtimua KAZI mwanadada karani CCM makao makuu kisa JAMII FORUM

Aloo nampa pole sana huyo mwana dada, ila namkaribisha CDM kama kweli yeye ni mwanaharakati wa kweli
 
Noma kumbe na Makamba yumo humu? huwa na namtafuta sana! Makamba hebu ni MP tuchat machache msee!:horn:
 
PHP:
Jumatano tarehe 19/1/2011 MAKAMBA aliingia ofisini yapata saa nne kasaro asubuhi.Fatuma Wenseslaus karani alikuwa bize akituma ujumbe kwenye komputa.Babu makamba kuchungulia akaona ilikuwa ni kwenye page ya jamii forum.
 Makamba:unaandika nini?Fatuma:sio chochote huku akiifunga ile page kwa haraka.Makamba: fungua taja jina unalotumia hapo JF, Fatuma akagoma kwa sababu alishamponda bosi wake hapa JF.
Makamba akampa siku tatu yule dada ampe jina lake hapa Jf, niliwahi kuombwa na mtu anayefahamia fika na Fatuma nimpe jina langu au la memba nimjuaye nikashindwa manake memba wengi wameshamkwaruza makamba kwa hiyo jina langu lingemtapisha Makamba.Fatuma ameambiwa asizikaribie tena ofisi za makao makuu CCM

Thi story looks suspect and it is difficult to verify and there many loose ends crying to be tied .......................

Hivi ukipata jina la mwana-JF linasaidia nini kama hujui.........his true identity?

halafu sioni ni vipi Makamba akaenda kwa mchapa mashine na amzunguke kwenye kiti chake hadi kuona anachochapa kabla ya nhusika hajafunga ile site...................................................I find the whole story more of a fabrication than a depiction of the truth................
 
Kwanza ninampa pole huyu dada Fatuma, lakini ninamuomba huko atakapopata kazi nyengine, asitumie nyenzo za ofisi kwa matumizi binafsi. Bosi wake anaweza kumtimua kwa kutowajibika kazini, na zaidi kwa watu kama Makamba wanapogundua kuwa anafanya mambo dhidi yao. Vile vile yaliyomfika dada yetu huyu iwe ni tahadhari kwa wengine wasije kufikwa na bahati mbaya kama yake.
 
Naona Makamba anapata tabu sana na uzee wake
Tunavyojua wazee kama yeye wanatakiwa kuwa na hekima na busara
Lakini yeye mbona hajapewa kitu hicho??
 
Hivi ajira za ccm hazifuati sheria za kazi na taratibu za kawaida za ajira? How comes, simply mtu anamwambia mfanyakazi asikaribie eneo lake la kazi kirahisi hivyo?

si ndio hapo sasa!
Au amempiga tu mkwara amuone.
 
Hivi ukipata jina la mwana-JF linasaidia nini kama hujui.........his true identity?
halafu sioni ni vipi Makamba akaenda kwa mchapa mashine na amzunguke kwenye kiti chake hadi kuona anachochapa kabla ya nhusika hajafunga ile site...................................................I find the whole story more of a fabrication than a depiction of the truth................

1. kwa kujua jina lake angemsoma post zake aone altitude ya huyo karani
2.aliendaje kumzunguka mchapa mashine: labda makamba alikuwa na tabia ya kumshika shika mabegani akitaka kumfanyia kile alichomfanya mwanafunzi aliyemfukuzisha ualim.
 
Jumatano tarehe 19/1/2011 MAKAMBA aliingia ofisini yapata saa nne kasaro asubuhi.Fatuma Wenseslaus karani alikuwa bize akituma ujumbe kwenye komputa.Babu makamba kuchungulia akaona ilikuwa ni kwenye page ya jamii forum. Makamba:unaandika nini?Fatuma:sio chochote huku akiifunga ile page kwa haraka.Makamba: fungua taja jina unalotumia hapo JF, Fatuma akagoma kwa sababu alishamponda bosi wake hapa JF. Makamba akampa siku tatu yule dada ampe jina lake hapa Jf, niliwahi kuombwa na mtu anayefahamia fika na Fatuma nimpe jina langu au la memba nimjuaye nikashindwa manake memba wengi wameshamkwaruza makamba kwa hiyo jina langu lingemtapisha Makamba.Fatuma ameambiwa asizikaribie tena ofisi za makao makuu CCM
Kama alikuwa ni mwjiriwa anipm nimpe the way forward ya kudai damages 4 unfair termination.
 
Back
Top Bottom