Makamba amesema nini kuhusu maaskofu

Ukiona hivyo ujuwe kisu kimefika kwenye mfupa. Mwaka huu CCM hawana pa kutokea , mipango ya kuchakachua imewekwa peupe, hawawezi kuitumia tena kwani wazalendo walioko UWT wametimiza wajibu wao kwa taifa na siyo kwa fisadi JK na genge lake, viongozi wa dini nao wameamua kusimama katika zamu zao kuona kuwa mpango wa Mungu wa kuwafanya watz waishi maisha bora unatimia kwa kupata viogozi wadilifu wenye maono na upendo kwa nchi na watu wake.CCM wameamua kutumia JWTZ kupitia makamanda wao wachovu wa kufikiri kama Shimbo kufanya mapinduzi. Ndiyo maneno ya Sumaye yanatimia kuwa anayeingia madarakani kwa kutumia kalamu atatumia bunduki kuendelea kubaki madarakani.Mungu wetu ni mwema , hamfichi mnafiki, Kikwete na genge lake sasa wako uchi .KATAA UFISADI NA UMASIKINI , CHAGUA CHADEMA, CHAGUA DR. SLAA KUWA RAIS WA TANZANIA, ACHANA NA CHAMA CHA MAJINI(CCM),ACHANA NA WAGONJWA WANAOANGUKA ANGUKA
 
Makamba na JK wanaongoza CCM kwa kutumia nguvu za kiza, na ndiyo maana watu wenye akili ndani ya CCM wamemwanchia chama ahangaike nacho muda huu wa uchaguzi - and for the first time believe me CCM wanakipata cha moto.

Hii itakuwa fundisho ili next time wakipewa kazi ya uongozi wa taifa wawe makini. Kawaida mgonjwa anapokaribia kufa ataagiza kila kitu mumuletee hapo kitandani yaani hadi gari au nyumba eti anaitaka, na ukiona hivyo tu basi anzeni kuandaa matanga - mtu ndiyo anaondoka huyo.

Ni kweli kabisa, kuchanganyikiwa huku kwa hawa jamaa ni matunda ya kuongoza kwa nguvu za giza!!!
 
ngoja atokee mganga mwingine aseme dr atakuwa rais ndipo utasikia kilio cha makamba na waganga wote wa kienyeji watafungiwa.2005 maaskofu walisema kikwete ni chaguo la mungu hapo hatukusikia watatukanwa wala nini sasa kama mungu yuleyule kasema fanyeni mabailiko imekua kuchanganya siasa na dini au kipindi kile walichanganya dini na siasa na sasa wachanganya siasa na dini naomba makamba atuambie kinachotakiwa ni kipi? tutangulize kipi chini katika huo mchanganyo?

Makamba hana cha kujivunia kwanza amepoteza luku ya mdomo wake akili yake haina akili kama nafikiri anakili alete vyeti vyake tuone ufaulu wake ,ndiyo maana alimjaza mimba mtoto wa shule akafukuzwa umwalimu mkuu kwa kukosa maadili ya kazi ,amejaa ushirikina anahangaika na waganga wa kienyeji usiku kucha unapanda mbegu ya chuki miongoni mwa jamii kwa misingi ya dini ,hivi karibuni hata Ramadhani Dua NSSF ameajiri watu 41 wadini ya kiislamu katika shirika la umma na wakristo watu 6 tu.udini wanokemea ni upi hata mwaNtumu mahiza naibu waziri wa elimu amekuwa akiwaagiza maafisa elimu kuajili watu wa imani yake ,Jk mwenyewe anajenga misingi ya dini ,hata ule mtafaruku kuhusu kodi juu ya mashirika ya dini waziri wa fedha Mstaafa Mkulo ulikuwa ni mpango kamili wa kuzikwamisha taasisi za dini ya kikristo .hata sasa tunajua mpango wa jk kuwa mwaka 2015 anamuandaa mtu wa dini yake atawale tena jambo ambalo jamii ya watanzania wameshtukia kama hajaambiwa hii ndiyo taarifa nilazima jk ang'oke hafai kuwa rais tena anendekeza udini tanzania ni ya wote watu watwale kwa uwezzo wakuongoza sio kukaa kwenye misingi ya dini dini nini kwani.
 
1.Anaitwa Ramadhan Dau, ungetueleza kwenye hayo maombi ya kazi Waislam walikuwa wangapi na Wakristo wangapi na qualification zao ili tuweze kujua kama walioajiriwa ni kwa upendeleo au walistahili.

2.Ninavyojua mwajiri katika wizara ni Accounting Officer (Katibu Mkuu), waziri kama ana mtu anataka aajiriwe lazima, narudia, lazima AMUOMBE katibu Mkuu, sasa Maafisa Elimu walioagizwa waajiri watu wa imani ya Mahiza sijui wawaajiri wapi! Labda majumbani kwao lakini sio serekalini

3. Nijulishe na mimi ningependa kujua, JK anamuandaa nani wa Imani yake amrithi? Atapata huo muda wa kuandaa mtu wapi wakati yeye mwenyewe maji ya shingo?

Mwisho ningeomba tujaribu kupunguza udini kwenye mijadala yetu, haitusaidii lolote zaidi ya kujenga chuki miongoni mwetu
 
ngoja atokee mganga mwingine aseme dr atakuwa rais ndipo utasikia kilio cha makamba na waganga wote wa kienyeji watafungiwa.2005 maaskofu walisema kikwete ni chaguo la mungu hapo hatukusikia watatukanwa wala nini sasa kama mungu yuleyule kasema fanyeni mabailiko imekua kuchanganya siasa na dini au kipindi kile walichanganya dini na siasa na sasa wachanganya siasa na dini naomba makamba atuambie kinachotakiwa ni kipi? tutangulize kipi chini katika huo mchanganyo?

Haka kazee (makamba) kameishiwa sera. Sasa hivi kila tawi kanaloshika linakatika. Kalidhani watanzania ni wajinga na kangeweza kuongoza chama kiuswahiliswahili tu. Sasa kameanza kusingizia maaskofu. Ninachotaka kafahamu ni kuwa maaskofu wanajua wanachofanya. Ni watu makini na akicheza nao watamsurubu na chama chake cha mafisadi. Mwaka huu waTZ hawana utani. Ninamshauri aache kazi ya chama aendelee na kazi ambayo ana uzoefu nayo ya kubaka wanafunzi.
 
Pamoja na mapungufu yote ya Makamba, kwa hili nina muunga mkono...I said it before and I say it now, Viongozi wa dini wabaki viongozi wa dini na sio kuingilia mambo ya siasa. Hiyo ni dangerous combination, history has shown...
 
Back
Top Bottom