Makamba amesema nini kuhusu maaskofu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamba amesema nini kuhusu maaskofu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kisendi, Oct 7, 2010.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mwenye Hili Jamani atujuzi tulio ugaibuni??
  Nini tena kuhusu maaskofu??
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Alichokisa kwa kifupi maaskofi waache kuingilia siasa na kama wanapenda siasa basi waingie kwenye siasa na kuachana na uongozi wa dini.Inavyoonekana anahisi viongozi wa dini kwa sasa wameingia kwenye siasa ili kumbeba DR wa ukweli.
   
 3. Mzalendo

  Mzalendo Senior Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  makamba kasema kama maaskofu hawata acha kuingilia watatukanwa, sijui nani sasa hatawatukana na kwaniaba ya kina nani,huyu makamba aombewe sala ya pekee maanake kama huu sio uchechozi sijui nini hiki haswa,mie mgeni
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Wacha uchochezi wewe, kwani nani siyo DR wa ukweli:moony:
   
 5. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,863
  Trophy Points: 280
  kwani wewe hufahamu?
   
 6. MANI

  MANI Platinum Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Kiongozi mkuu wa chama anatishia kutukana watu na anajisifu hivi kweli tuna viongozi bora au bora viongozi?
   
 7. J

  Jafar JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Makamba ushindwe, ulegee na unyong'onyee kabisa.
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  Kama hiyo ndiyo hoja yake, basi na yeye aache siasa arudi kwenye ubakaji
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  Dakta
   
 10. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #10
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Hii kauli itaongeza hamasa kwa Maaskofu kutoa elimu ya Uraia, Matendo ya CCM yanafanana sana na ile stori iliyoandikwa kwenye kitabu cha Kusadikika ambacho kinasomwa kidato che tatu na nne.
   
 11. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Makamba na JK wanaongoza CCM kwa kutumia nguvu za kiza, na ndiyo maana watu wenye akili ndani ya CCM wamemwanchia chama ahangaike nacho muda huu wa uchaguzi - and for the first time believe me CCM wanakipata cha moto.

  Hii itakuwa fundisho ili next time wakipewa kazi ya uongozi wa taifa wawe makini. Kawaida mgonjwa anapokaribia kufa ataagiza kila kitu mumuletee hapo kitandani yaani hadi gari au nyumba eti anaitaka, na ukiona hivyo tu basi anzeni kuandaa matanga - mtu ndiyo anaondoka huyo.
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Taarifa kamili ipo wapi?
   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  mbona ccm wamewaingiza masheikh kwenye ccm kuhusu mahakama ya kadhi wakati ni mambo ya dini.....je, hapo makamba hajawalazimisha masheikh wa waislamu kuingilia siasa wkt chama cha siasa inabidi kishughulike na siasa na kiachane na mambo ya dini na masheikh waache vyama vya siasa washughulike na dini?..........mbina ccm na cuf ndiyo vyama vya dini ya kiislamu mpaka kuweka mambo ya dini binafsi kwenye ilani zao?........
  Kwa maneno maaskofu wanaingilia LAKINI KWA VITENDO MASHEIKH NDIYO WANACHANGANYA DINI NA SIASA KWA KUITEKA CCM NA CUF(Ile taasifi pure ya kiislamu)

  TUSIDANGANYANE.....TUSEME UKWELI MAASKOFU WANAHAM,ASISHA ZAIDI KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SI MAFISADI
   
 14. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,494
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  kikwete
   
 15. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Nimevutiwa na usemi wako kuwa ni kawaida mgonjwa anapokaribia kufa ataagiza kila kitu mumuletee hapo kitandani yaani hadi gari au nyumba eti anaitaka, na ukiona hivyo tu basi anzeni kuandaa matanga - mtu ndiyo anaondoka huyo. It is an interesting observation!!!!
   
 16. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,494
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  Wanaweweseka tu mwaka huu mie sijaona askofu aliesema mchagueni mtu kwa sababu ni wadini fulani sijui huu uzushi unatoka wapia? Wakulaumiwa ni askof Kilaini aliesema Kikwekwe ni chaguo la Mungu.....mbona hawakumpinga??????????? waache ajenda za siri..
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,076
  Trophy Points: 280
  makamba anakiri ya kuwa wamelemewa na sasa hivi anajaribu kukamata hata unyasi lakini mwaka huu tutawafunza adabu yeye na JK wake
   
 18. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mbona mama lwakatare anafanya siasa na dini, maaskofu tena endeleeni kuelimisha kuhusu siasa
   
 19. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uliza Kilaini yuko wapi mida hii na kilichompata ni nini kwi kwi kwiiiiiiiiiii Mwaka huu hakuna cha chaguo la Mungu wala Shetani. Kuna changuo la Watanzania
   
 20. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ngoja atokee mganga mwingine aseme dr atakuwa rais ndipo utasikia kilio cha makamba na waganga wote wa kienyeji watafungiwa.2005 maaskofu walisema kikwete ni chaguo la mungu hapo hatukusikia watatukanwa wala nini sasa kama mungu yuleyule kasema fanyeni mabailiko imekua kuchanganya siasa na dini au kipindi kile walichanganya dini na siasa na sasa wachanganya siasa na dini naomba makamba atuambie kinachotakiwa ni kipi? tutangulize kipi chini katika huo mchanganyo?
   
Loading...