Makamba alionewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamba alionewa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makupa, May 16, 2011.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nimefuatilia kwa karibu sana uwezo wa secretariat mpya ya ccm ,nilichoigundua ni kwamba tofauti kati yao na iliyokuwa secretariet ya Makamba(Sr) ndogo ni sana.Tulitarajia hii secretariet mpya ije na mbinu mmbadala za kujaribu kuwaeleza watanzania mikakati gani ya muda mrefu na muda mfupi ya kupunguza kero zinazokabili watanzania wote kwa ujumla. Badala yake kazi hiyo bado anachiwa mwenyekiti wa Chama Mheshimiwa JK . Naammini kabisa hii timu mpya muda si mrefu wana CCM wataanza kumkumbuka Makamba (Sr) na timu yake
   
 2. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,088
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  mmmhhhhh. joining date inanitisha kidogo!!!!!!!!!!
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Makamba alionekana hafai kabisa lakini saizin anaonekana kuwa alikuwa na ahueni lakini ni mapema kumtolea hukumu huyu katibu mpya japo kuwa anaonekana kuwa na sauti ya radi (kutisha) akiongea sasa sijui itaendana na matendo hiyo sauti yake?
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mhhhhhhhhhhhhh makamba=nape tu.
   
Loading...