Makamba adai ana miaka minne ya kuishi ambao afe kwa amani, azikwe kwa heshima

Thinking tanks wa CCM (Makamba, kingunge na Tambwe Hiza). Wote wanamawazo ya kitoto.
 
Mimi si Mkristo lakini kwa hilo unawaonea hawa ndugu zetu in humanity.

Ndugu yangu, kinachozungumziwa hapo ni estimated average na sio sheria ya Mungu kwamba hakuna atayakezidi umri huo.

Kwa nini u single out Japan na sio ulimwengu kwa ujumla?

Be fair my friend.

Yapo maswali mazito ya kuuliza juu ya Biblia lakini hili sidhani kama lina uzito pale utakapozingatia tafsiri yake sahihi.

Kwa nini ni single out Japan? Kwa sababu najaribu kuonyesha hiyo prediction kutoka katika kitabu cha mungu ilivyofail. Japan is a big enough sample space (more than 100 million people) kuweza kusema tuna test hii prediction.

Kitabu cha "mungu" kimefail kufanya an accurate prediction. Here are some of the possible reasons.

1. Mungu is not all knowing na hakuweza kujua life expectancy ya Japan itakavyokuwa (angejua angeweka at least 100)

2. Mungu alijua na alisema rightly, lakini waandishi walikosea kuandika (which puts the entire bible in question, kwa sababu kama wamekosea hapa who knows sehemu gani nyingine walipokosea)

3.The entire mungu story is a fiction.Watu tu wameandika biblia na haina wisdom ya kiungu, in fact hakuna mungu.this would neatly explain why the bible got this prediction wrong.

I would go with the third option. This is not even the only inaccuracy, in Joshua we are told that God stopped the sun from going around the earth so that the israelites could have more daylight and win a battle, had the bible really been gods word, god would have correctly write it down that in fact he stopped the earth from going around the sun, and not the other way around.This just goes to show how human the bible is.

I treat the bible like Shakespeare, Homer, Bob Marley and Jay-Z, some time they make sense, sometimes they contradict themselves.
 
Na Joyce Mmasi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewaomba watu wanaomfuatafuata kumuacha ili afe kwa heshima kutokana na kubakiza miaka michache ya kuishi duniani.

Makamba alitoa kauli hiyo juzi alipozungumza kwenye mahafali ya wanafunzi wa Shule za St Anne Marie eneo la Mbezi kwa Msuguli jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Aliwataka watu wasiomtakia mema kuacha kumfuatafuata na badala yake waachwe afe kwa heshima kwa kuwa amebakia miaka minne afikishe umri wa kuishi duniani.

Akinukuu vifungu kwenye Biblia , Makamba alisema umri mtu kuishi duniani ni miaka 70 na wachache ni 74 na akasema yeye amefikisha umri wa miaka 71, hivyo anapaswa aachwe amalizie miaka mine iliyosalia ili azikwe kwa heshima.

"Mimi nina miaka 71 sasa, nimebakiza miaka mine tu nife, lakini kuna watu wananifuata ooh Makamba kafanya hivi, wanataka kuniharibia bure, kwanini wasiniache nife nizikwe kwa heshima" alisema Makamba na kuwaacha watu wakiangua kichezo.

Akizungumzia utendaji kazi kwa walimu nchini, Makamba aliwataka kuongeza upendo kwa watoto wanaowafundisha ili kuweka kichocheo kwa wanafunzi wapende kusoma na kuwa na bidii katika masomo.

Makamba alisema, walimu ni watu muhimu wanaoweza kudumaza au kupandisha kiwango cha kufaulu kwa wanafunzi na kwamba penye upendo pana elimu, na mwalimu mzuri ni yule anayeonyesha upendo kwa wanafunzi na kwa masomo anayofundisha.

Katibu Mkuu aliwakumbusha walimu nchini kwamba wanafunzi wengi ni vijana na ni taifa la kesho na akasema kwa kuwalea katika maadili ya kupenda kusoma ni kusaidia kujenga taifa imara lenye wasomi wengi na wazuri.

Alilaumu tabia ya baadhi ya walimu wanaogoma kufundisha akisema mwalimu anapogoma kufundisha asifikiri anamgomea mwajiri wake au serikali na badala yake wajue kuwa wanawagomea watoto hao.

Awali akizungumza wakati akimkaribisha, Mkuu wa shule hizo Nelson Theonest alisema wanafunzi wote waliomaliza shule waliandaliwa vizuri na wote wapo tayari kujiunga na shule zingine kila mmoja kwa kiwango chake na akawapongeza wanafunzi wote kwa adabu na utii walioonyesha shuleni hapo kwa muda wote waliokuwa wakisoma. Katika mahafali hayo, jumla ya wanafunzi 359 wadarasa la saba, kidato cha nne na cha sita, walimaliza shule na kukabidhiwa vyeti vyao
Kiongozi bora na imara haombi kufa mapema na kuacha migogoro. Hivyo mh. Makamba nakusihi uombe sala ya kumaliza migogoro inayokuhusu kabla ya kifo chako na si kuomba ufe haraka kama kinga ya kukwepa migogoro.
 
Hii Graduation ya aina yake na yenyewe, mbona kama haijakaa vizuri, Graduation gani ya darasa la saba, form four na Six pamoja??

Mkuu nadhani hizo ni sherehe za kuwaaga wa le waliohitimu masomo yao katika ngazi hizo walizosomea na SI SHEREHE ZA KUFANYA MITIHANI. Kwani mitihani wanafanya miezi na siku tofauti..!
 
Kwa nini ni single out Japan? Kwa sababu najaribu kuonyesha hiyo prediction kutoka katika kitabu cha mungu ilivyofail. Japan is a big enough sample space (more than 100 million people) kuweza kusema tuna test hii prediction.

Kitabu cha "mungu" kimefail kufanya an accurate prediction. Here are some of the possible reasons.

1. Mungu is not all knowing na hakuweza kujua life expectancy ya Japan itakavyokuwa (angejua angeweka at least 100)

.

Lakini haikusema in 2009 watu wataishi for 70 years. Not all predictions zoimeshatokea, nyingine zinakuja.

Assumption ya Makamba ni kwamba yeye ameshaanza kuhesabu na wakati ndio huu.nani kamwambia?
 
Lakini haikusema in 2009 watu wataishi for 70 years. Not all predictions zoimeshatokea, nyingine zinakuja.

Assumption ya Makamba ni kwamba yeye ameshaanza kuhesabu na wakati ndio huu.nani kamwambia?

Biblia haikutaja mwaka gani huu utabiri uta apply, which means utabiri uko universal na eternal kuanzia ulipotolewa.

Utabiri umekuwa violated Japan.

Utabiri umeshindwa.

Kama mungu huyu angekuwa katika kipindi cha "The Apprentice" cha Trump angeambiwa "You are fired".

Mungu ni politics tu, kama anavyotuonyesha makamba hapa.

Mtu kashindwa ku deal na challenges za uongozi anasingizia mungu na miaka tuliyopewa kuishi.
 
hivi ni binadamu wangapi wanaojitakia kufa hata kama ana umri mkubwa kiasi gani? watu wanapigana mpaka pumzi ya mwisho, sasa yeye kujipamiaka minne (tena kimakosa) kwanza anamkufuru Mungu na pili anataka publich sympathy....
 
Umenena mkuu,
Simplicity is the hallmark of a genius
 
mzee kala nchi si mchezo kumbe huwa tunamuonea akili zake zimepungua,ndio maana hutoa maamuzi ya ajabu ajabu na ya kizandiki
 
Na Joyce Mmasi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewaomba watu wanaomfuatafuata kumuacha ili afe kwa heshima kutokana na kubakiza miaka michache ya kuishi duniani.

Makamba alitoa kauli hiyo juzi alipozungumza kwenye mahafali ya wanafunzi wa Shule za St Anne Marie eneo la Mbezi kwa Msuguli jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Aliwataka watu wasiomtakia mema kuacha kumfuatafuata na badala yake waachwe afe kwa heshima kwa kuwa amebakia miaka minne afikishe umri wa kuishi duniani.

Akinukuu vifungu kwenye Biblia , Makamba alisema umri mtu kuishi duniani ni miaka 70 na wachache ni 74 na akasema yeye amefikisha umri wa miaka 71, hivyo anapaswa aachwe amalizie miaka mine iliyosalia ili azikwe kwa heshima.

"Mimi nina miaka 71 sasa, nimebakiza miaka mine tu nife, lakini kuna watu wananifuata ooh Makamba kafanya hivi, wanataka kuniharibia bure, kwanini wasiniache nife nizikwe kwa heshima" alisema Makamba na kuwaacha watu wakiangua kichezo.

Mzee Makamba asiwe na wasiwasi wengine tushamzika zamani sana mioyoni mwetu.
As long as we care , kama Katibu Mkuu Mzee makamba ni marehemu kabisa.
Tatizo angesema CCM inakufa kesho ndo tutashtuka, maana kwa kweli Makamba and co. wanaua Chama
 
Ndo maana ameamua kutuletea mrithi January ili akistaafu awe anakula Mafao/kupata kusikiwa serikalini kama Mwinyi via mtoto wake
 
Pdidy hivi kakufa au bado
naona miaka imepita zaidi ya minne.
 
Last edited by a moderator:
Katibu wa mkuu wa ccm na Kinana na si Makamba kama ulivyo andika mkuu, ila ungeandika, aliyekuwa katibu mkuu wa ccm ama katibu mkuu mstaafu wa ccm
 
Back
Top Bottom