Makamanda wa polisi mikoa tanzania bara

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,972
3,829
Arusha 0754 267032
Dodoma 0754 022999
Manyara 0715 009929
Mwanza 0713 496770
Kagera 0787 576171
Mbeya 0784 292935
Kigoma 0752 814377
Kilimanjaro 0784 708857
Tabora 0754 020033
Lindi 0784 396086
Pwani 0754 293349
Iringa 0754 170377
Rukwa 0754 381836
Morogoro 0754 770000
Mara 0784 864212
Singida 0784 433551
Mtwara 0784 418857
Tanga 0754 280994
Shinyanga 0786 249249
Ruvuma 0713 242515
Tarime 0713 510856




MAKAMANDA WA POLISI MIKOA ZANZIBAR
Kaskazini Unguja 0713 298766
Mjini Magharibi 0777 417952
Kusini Unguja 0786 662099
Kusini Pemba 0773 089417
Kaskazini Pemba 0777 481881
 
BUILDING CAPACITY OF THE COMMUNITY TO PREVENT AND SOLVE CRIME:
The Tanzania Police Force beliefs that safety starts in the local community. Where young people are brought up in a secure and stable environment with role models and constructive activities, they are less likely to get sucked into anti – social behavior and criminality.
In order to build and strengthen the capacity of the community to prevent and solve crime the Tanzania Police Force has embarked on Police Ward Programme, commonly known as Polisi Kata/Shehia. Police ward initiative is a joint programme between Police and the Local Government authorities. Though these locally accepted mechanism of govermence starting from Division (Tarafa) and wards( Kata/Shehia). Police and other stakeholders can easily reach the community at street level (Mtaa) in urban areas and in village level (Vijiji/Vitongoji) in rural areas.
In the Street (Mtaa) and village level neighborhood watch programme is organized by the community themselves in order to reduce residential crime. Community is being educated by Police and other stakeholders Non-Government organizations, Institutions and other civil society structures about working together as a community to improve personal security and house hold security . Most important, it is about encouraging interaction and sense of responsibility between neighbors and community.
 
Binafsi sioni mantiki ya hizi namba kikubwa na chenye mafaa kwa watz ni utendaji wa kazi! Hizi namba zinawafaa mahawara wao!! Kama tukio la ujambazi linaweza kutokea na akapigiwa simu akajibu gari haina mafu na askari wazamu tupo wachache inafada gani namba hiyo?
 
mbona wengi hawana namba ya tigo?au ndio kama inavyosemwa ukiwa na tigo unakuwa inferior flani..
 
NI vizuri sana lakini ingependeza kuraghisisha
  • Wagetafuta utaratibu wa kuwa na number moja ( Uniform)wa miko yote. Kwa powe waliyonayo TRCA nadhani wanaweza kupatiwa naumber fulani mabyo haina watu wahatver provider.
  • Wanachi tunataka number na mafisa wa police repsonsible kwa local area zetu ama wilayani au kwenye tarafa. Kero walizonazo wanachi
But good move anyway

Nilijaribu kushirkiana na wadau wa ICT wa jf kuandaa online directory ya ya number za ofisi ya public officer wote na watu mbali mbali. ili iwe rahisi kujua wapi, nini na nani apate huduma gani But bahati mbaya ilishindikana.

icheki ilipoishia wanani


Japo project imekufa nitaziweka hizi number kwenye hii pilot or testing site
 
Sasa vipi hao makamanda kama wanahamishwa kwenda mikoa mingine, vipi namba zao wanaondoka nazo au zinabaki pale pale mkoani.

Mbona sioni namba za Dar?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom