Makamanda wa mwaka wa kwanza BAVICHA wamewatafutia mfadhiri

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Habari wanaJF,

Makamanda wa Vyuo vikuu kuna mfadhiri amepatikana baada ya kutafutwa na makamanda wa BAVICHA.

Hivyo mjiandae na kadi zenu.....

dswsa.jpg
 
Sasa mkuu watu si wataenda kuchukua kadi mpya hata mamluki wengine Ili wapate mikopo?
 
Inasemekana ni uzushi unaofanywa na UVCCM kwa maslahi ya kuichafua BAVICHA
 
Nimependa ujumbe hapo chini'AKILI ILIYOCHOKA HAIWEZI KULETA MAENDELEO CHANYA KWA JAMII' nafikiri walilenga kuichafua BAVICHA ila wamejikuta wenyewe wakijitukana
 
Back
Top Bottom