Makamanda wa CDM wavua magamba Babati Vijiji

Qedalong

Member
Mar 16, 2012
30
10
Makamanda wa CDM Mh. Rose Kamili na Pauline P. Gekul wakiwavua magamba Babati Vijijini. Kwa ujumla hali inaonyesha dalili ya kutosha kuwa makamba wanakazi ya kuwatete nafasi yao kwa wananchi. Ukombozi umefika kwa wananchi.
 
Mkuu taarifa haijitoshelezi,mpaka sasa sijakuelewa kati ya CDM na CCM nani kavua gamba?
 
Mkuu umeanza vizuri vizuri sana lakini habari yako inahitaji kutiwa nyama zaidi, plz kama kuna picha itakuwa murua zaidi pia sana tu
 
Gwargwe weka picha bana
Samahani wana JF haikuwa nia yangu kuwachanaganya ni bahati mbaya.
Ilikuwa safari ndefu ya kufanya mikutano ya hadhara katika Majimbo ya uchaguzi ya Mbulu na Bahati vijijini kuwavua makamba vigogo wa CCM. Makamanda Pauline P. Gekul na Rose Kamili, wabunge wa viti maalum kwa tiketi ya CDM kupitia mkoa wa Manyara walizindua matawi ya CDM katika vijiji vya Qameyu, Gidng'war na Bashnet ukihudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi wa maeneo husika. Kwa Jimbo la uchaguzi la Mbulu waliweza kukutana na makundi mbalimbali katika vijiji vya Masqaroda, Bashay na Dongobesh. Katika Tarafa Dongobesh waliweza kufanya kikao cha ndani na wazee wa CDM na wakereketwa wa chama na kujadiliana masuala mbalimbali ya ujenzi wa chama na kuweza kusanya kero mbalimbali za wananchi.

Nawasilisha.

Source: Field data, nilikuwa ktk msafara hip.
 
Mkuu inaelekea una habari nzuri unataka kutupa ila naona Network na Haraka ya kupost imekuzidi kasi.Ebu kaa sehemu yenye network tulia kisha tupe habari,Usisahau kutupiapo vijipicha kwa msisitizo zaidi.Source iwe wewe mwenyewe!

We are eyes ON!
 

Attachments

  • IMAG0159.jpg
    IMAG0159.jpg
    212.8 KB · Views: 42
  • IMAG0160.jpg
    IMAG0160.jpg
    253 KB · Views: 39
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom