Scrap message
Mkuu taarifa haijitoshelezi,mpaka sasa sijakuelewa kati ya CDM na CCM nani kavua gamba?
Kwa sasa tuko Bashnet kwa operation ya kuwavua magamba CCM. Picha hizi hapa
Samahani wana JF haikuwa nia yangu kuwachanaganya ni bahati mbaya.Gwargwe weka picha bana
Picha Hizi hapaGwargwe weka picha bana
Mkuu taarifa haijitoshelezi,mpaka sasa sijakuelewa kati ya CDM na CCM nani kavua gamba?
Weka picha, please!
picha hizi hapa watu ni wengi balaa.. Embu cheki