Makamanda wa Arusha ndani ya Dar Es Salaam leo.

FRANK MICHAEL

Senior Member
May 17, 2011
151
46
Kama ilivyo kawaida yetu umoja na upendo ndiyo silaha yetu makamanda wa CHADEMA tukiongozwa kamanda wetu Lema, tutatua mida ya saa sita mchana tukitokea Arusha na usafiri wa fastjet kwenye uwannya wa julius Nyerere Dar es salaam, sababu ya kuja kwetu Dar ni kumsikiza kiongozi wetu na mbunge wetu Lema mahakamani, vile vile tumewaomba vingozi wa chama Dar watuandalie mkutano mmoja wa hadhara ili tuwafundishe makamanda wa Dar ujasiri.

Kama unataka kuungana na sisi tukutane makao makuu ya chama mida ya saa nane.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom