mgoli magombe
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 121
- 27
Ndugu zngu makamanda wa Arusha kuweni makini sn na mtaa wa sanawari coz majizi ya ccm yalichukua watu kutoka mount meru university na arusha university wakajiandikisha ili wawapigie kura.
Huu ni uchaguzi wa vitongoji, wanachuo wanaoishi usa river na ngaramtoni wanachukuliwa na magari na kwenda kuandikishwa maeneo yaliyotajwa,wanapewa lunch na hela na wameahidiwa fungu siku ya uchaguzi, Sijui wapanga mikakati wa CCM wanawaza nini wanachuo waliohusika ni wengi na isingekuwa rahisi wote kutunza siri
Chadema mmeanza visingizio.